Mwalimu kp
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 574
- 488
Huku nilipo balimi hakuna balimiuwe ubakunywa balimi ...aina Alcohol power kubwa ..nadhani nikama 5 alafu ukiwa high mahaba yanakuwaga heavy sana .
Save water drink beersPombe bhana,itakuwa ina catalyst.Maana unaweza ukakaa muda bila kuinywa.Lakini ipo siku,unajikuta umeshainywa!
Kama uko dar zipo sehemu flani ...pale kwa azizi Ally Tandika zipoHuku nilipo balimi hakuna balimi
Asante kwa kujali, ila mimi maji huwa yanatosha sana!uwe ubakunywa balimi ...aina Alcohol power kubwa ..nadhani nikama 5 alafu ukiwa high mahaba yanakuwaga heavy sana .
Barikiwa sanaKaribu
Hahaha wew kiumbe..leo husomekiNi kama bangi. Wengine zinawakubali wengine zinawapa uchizi
Kuna pombe zinastimu za matusi,,huwezi kunywa balimi ukabaki salama[emoji23] [emoji23]Wengine tunakunywa pombe tunafurahia wengine mkinywa mnatukana duuu
Ntajaribu siku moja balimi nione kama ntatukana au la,mi ninkinywa nafurahia mziki tu na ntaongeaKuna pombe zinastimu za matusi,,huwezi kunywa balimi ukabaki salama[emoji23] [emoji23]
Unipe mrejeshoNtajaribu siku moja balimi nione kama ntatukana au la,mi ninkinywa nafurahia mziki tu na ntaongea