MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
1. Kunijali (kujaliana) yaani ajue nini nijnahitaji na jinsi ya kunitimizia (sexually na hata mahitaji mengine but kikubwa ni kunirespect kama mimi ninavyomrespect
2. Awe ananionyesha kuwa ananipenda- kwa vitendo si maneno kwani maneno hata kasuku huzungumza!
Kweli tunaishi tukitembea kwenye barabara mfano wa sine and cosine graphs..kuna ups and downs na mambo yote huja na kupita. Kweli ndugu yangu kupenda ni kuonyesha kwa vitendo na sio maneno mengi yasiyo na action yoyote.Sorry mie ninaanza vile ambavyo ninajua kwangu vinanidhihirishia ninapendwa
1. Kunijali (kujaliana) yaani ajue nini nijnahitaji na jinsi ya kunitimizia (sexually na hata mahitaji mengine but kikubwa ni kunirespect kama mimi ninavyomrespect
2. Awe ananionyesha kuwa ananipenda- kwa vitendo si maneno kwani maneno hata kasuku huzungumza!
Wanaume, kina kaka: Ni vitu gani akivifanya wifi (mkeo/girlfriend au demu wako
Sorry mie ninaanza vile ambavyo ninajua kwangu vinanidhihirishia ninapendwa
1. Kunijali (kujaliana) yaani ajue nini nijnahitaji na jinsi ya kunitimizia (sexually na hata mahitaji mengine but kikubwa ni kunirespect kama mimi ninavyomrespect
2. Awe ananionyesha kuwa ananipenda- kwa vitendo si maneno kwani maneno hata kasuku huzungumza!
Vp amesha anza kurudi katika line? Kweli JF inatuelimisha jamani.
Duh kumbe iwa mnatumia na nyie maneno kama haya hehe nilikuwa sijui.
So funny, vipi kama akifanya kwa vitendo akakuletea kasuku atakayekuwa anakutamkia neno "nakupenda" kila uamkapo utaridhika kuwa anakupenda?
Lol!
1. Kunifanyia wema bila kusubiri nimlipe wema wake
2. Ajue kwamba mapenzi kwa maana ya ku'do' ni sehemu muhimu sana ktk ndoa
3.ajue kuchukuliana udhaifu,siyo kuuanika udhaifu wa mwenzake ili aonekane superior
4.aniamini kuwa nina mawazo constructive kabla ya kucritisize i.e. kuheshimiana kwa mapana yake
5.tukitoka ajisikie raha kwa muonekano kuwa na mimi,siyo anakuja nyumanyuma kama mwizi wa mapenzi anaelekea guest house ya uswahilini.
6.ushirikiano ktk tendo la ndoa (strictly kwa wanandoa),kama anahisi kinamboa basi ushauri wa marekebisho uwe kabla ya kwenda uwanjani...
7.ajue kuwa smart,siyo kwa kuwa anaye basi mtu anajiachia mpaka baaasi, ukweli ni kwamba mme/mke akipendeza barabarani hata mndani wake anamtamani kwa upya kabisa...
8.kutofanya vitu ambavyo mwingine hapendi,e.g.kuna watu wana hobbie ya kugombeza watoto/msaidizi wa nyumba/ndugu n.k akifoka sana mbele yangu uzuri wake unadeteriorate sana..ajiheshimu na aheshimu wanaomzunguka
9.asipende nimpe rushwa ndo anipende e.g. mtoko,zawadi n.k
10.aheshimu sana kazi yake na yangu....wivu ukizidi sana unaharibu mahusiano...
Vp amesha anza kurudi katika line? Kweli JF inatuelimisha jamani.
napenda anickilize/nijali/dhamini! asichukulie mapungufu yangu kama big deal bali yeye ndio wakuniongoza kwa namna moja au nyingine, mukitanda twende sawa na tuwe tunaelewana pale mwenzako anapokukosea.....na awe mwepec kusamehe sio ile mmeshaongelea jambo baada ya dk anasema ndio mana ulifanya hivi na vile(gubu)
F.mchokozi ww.
Hahahaha aah wapi kaka ni katika harakati za kumuandaa mtarajiwa LOL.