Mapenzi ya fujo fujo huwa ni matamu sana

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Tuache utan jaman mapenz ya fujo fujo yenye mikiki mikiki huwa ni matamu sana aisee

Jiulize wewe mpenz wako ni kapeace lazima ufurah aisee maana haishi majonjo majonjo mara akutemee mate mara akunyime mamboz yaan ukipata mpenz kama huyu huwez kumuacha na huwez kumusahau

Hebu wewe chukukia mkeo ndo awe sakayo au emmy yaan wapole kweli, hawana hata mikiki mikiki yaan wao penz lao ni kifo cha mende tu bas hakuna hata amsha amsha yaan huwez kuenjoy mazee

Penz la mikiki mikiki ni tamu sana mara mtukanane mara mgombane yaan vituko hata haviish

LONDON BABY
 
unawafahamu vizuri mkuu ama ndo haya haya ya nyuma ya keyboard unayajengea taswira flani 900? inapendeza basi
 
Yaan kw hizi ID tuu ushajenga picha ya kitandani wanakuaje!!...
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Tuache utan jaman mapenz ya fujo fujo yenye mikiki mikiki huwa ni matamu sana aisee

Jiulize wewe mpenz wako ni kapeace lazima ufurah aisee maana haishi majonjo majonjo mara akutemee mate mara akunyime mamboz yaan ukipata mpenz kama huyu huwez kumuacha na huwez kumusahau

Hebu wewe chukukia mkeo ndo awe sakayo au emmy yaan wapole kweli, hawana hata mikiki mikiki yaan wao penz lao ni kifo cha mende tu bas hakuna hata amsha amsha yaan huwez kuenjoy mazee

Penz la mikiki mikiki ni tamu sana mara mtukanane mara mgombane yaan vituko hata haviish

LONDON BABY
absolutely true.
 
Dah shemeji una vituko wakingulia niite nikujibu
 
Back
Top Bottom