Mapenzi ya jinsia moja madhara yake yakoje?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Katika hii dunia tunamoishi kumeibuka Wanawake wengi kufanya Mapenzi ya Jinsia moja hususani wanawake kwa wanawake wenzao je nini madhara yake??
 
ni dhambi kwa Mungu! kama una tabia hiyo SIGN OUT IMMEDIATELY!
 
women + women hamna madhara.
  • no STI
  • no unwanted pregnancy
  • emotional satisfaction
  • no man induced problems (kama uzi nyingi za mmu zilivyo)
 
Duh . . .
Kumbe baskeli inaweza kuwa nzuri kuliko Hammer?
 
tatizo lipo maadili mi sijui wanagu niwapeleke wapi ati kila kona machafuko lo jamani ina maana la wanaume limeshakuwa halali hadi tuje la kike oh no nani asaidie yupi sasa
 
Madhara ni mtu kuolewa na kuendeleza huo mchezo kwa siri.
 
kwakweli ni laha kupita maelezoo BRASH
Naogopa kusema kwa sababu ya vitu viwili....(1)Kuhamishwa thread kwenda jukwaa la wakubwa(2)Kusababishwa kufungwa kwa thread...ila nawasiwasi kuwa hapo hakuna raha..sijui wengine wanasemaje! ila content niuhuni hakuna tofauti na majike dume!!
 
The issue is Beyond of my thinking capacity
 
madhara ni kwamba hawajui utamu wa ukweli amabo wanaopata dushelele usikia...alafu nimesikia eti ukinipaka mkojo wa mwanamke mwenye mimba unaweza kummega lesbian
 
Hi! Ungetupatia jinsia yako ingekuwa simple sana kupata wewe majibu ya swali lako!

Weweeeee!!

Katika hii dunia tunamoishi kumeibuka Wanawake wengi kufanya Mapenzi ya Jinsia moja hususani wanawake kwa wanawake wenzao je nini madhara yake??
 
Hamna madhara..
Madhara sijui ila najua hatari yake katika jamii (Africa Kama ulaya) utaratibu huo unakubaliwa pale unapo endeshwa kwa Siri. As you might know, Kila penye Siri kuna unyanyasaji Fulani wa haki (ni methali tu, don't take it in extenso).
Sijui alie uliza suali alikua na nia gani, but nataka kumtahadharisha na hatari hiyo ya segregation and sometimes persecution, beyond the lack of understanding.
 
sijui sana ila kwa wanawake sidhani kama kuna madhara ila kwa wanaume najua kuna madhara maana unapanuka nyuma na huwezi kuzaa kwa anaefanywa. ila siku hizi kwenye nchi za wenzetu wameanza kuwaambia kuwa hakuna madhara endapo wakifanya kutumia condom. ila kidini ni dhambi kubwa sana so angalia imani yako kama inakuruhusu kufanya uchafu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…