sasa ukiwaletea maua wafanyaje?wakatae?
hebu waletee na vigunia vya mchele na vikapu vya samaki kwanza
uone genuine feelings zao
Upo sahihi kabisa, maua ni maigizo tu.The one and only interest present ni mkwanja, mzawadie ili uwone kama furaha ni ya ukweli au anazuga, hayo mengine tunajilazimisha tu.najua wapo wataokaobisha, "pretenders", ila ukweli ndio huo.
The one and only interest present ni mkwanja, mzawadie ili uwone kama furaha ni ya ukweli au anazuga, hayo mengine tunajilazimisha tu.
najua wapo wataokaobisha, "pretenders", ila ukweli ndio huo.
Naunga mkono hoja mia kwa mia ili kuwapunguzia wengine kazi ya kuanza kuuza zawadi walizopewa.The one and only interest present ni mkwanja, mzawadie ili uwone kama furaha ni ya ukweli au anazuga, hayo mengine tunajilazimisha tu.najua wapo wataokaobisha, "pretenders", ila ukweli ndio huo.
naomba kuondoa shilingi! kuna wanawake wana hela zao pia, wanachohitaji ni upendo na appreciation! na isitoshe kuna watu (wanawake ama wanaume pia) wanapenda maua na wanajinunulia fresh flowers kupamba nyumba zao. muhimu ni ujue kama mpnzi wako anapenda kitu gani. hata hivyo kuna watu wamefundishwa ku-appreciate kila kitu wanachopewa na not to take anyone for granted! ndo maana hata kama ana hela zake, ukimletea chocolate ya tsh 1000/= ama hata kikombe tu chenye ramani ya tz atafurahia na kukithamini. sio kwa sababu ya gharama, ila ile nia tu ya kumfikiria inatosha!
Ha ha ha! Binafsi sio muumini wa mapenzi ya 'maua' ila hapo kwenye vigunia vya mchele kwa mjanja ataigiza vizuri kwa kutoa na machozi ya furaha maana anajua kazi yake itakuwa kutafuta 'frame' ya kufanyia biashara tu.sasa ukiwaletea maua wafanyaje?wakatae?hebu waletee na vigunia vya mchele na vikapu vya samaki kwanzauone genuine feelings zao
Kweli maigizo, cpati picha mpenzi wako anakuletea zawadi kuja kufungua unakuta kabendera ka CCM.AAarg maua ni kuigiza tuuu, mpe mkwanja, chipsi mayai, mtoe out Samaki samaki, San ciro au mabaa yale ya sinza kesho sifa teleeeeeeeeeeee hahahahaha Bongo bana nzuri sana lkn CCM wameiharibuu
AAarg maua ni kuigiza tuuu, mpe mkwanja, chipsi mayai, mtoe out Samaki samaki, San ciro au mabaa yale ya sinza kesho sifa teleeeeeeeeeeee hahahahaha Bongo bana nzuri sana lkn CCM wameiharibuu
na mboga za majan pia wakamilishe mlosasa ukiwaletea maua wafanyaje?wakatae?
hebu waletee na vigunia vya mchele na vikapu vya samaki kwanza
uone genuine feelings zao
Sijakusoma vizuri, ila kwa kadi ni kitu ambacho mtu alikizoea kukiona toka utotoni kwa kuona nyumbani kadi mbalimbali mfano X-mass, Eid n.k so haikuwa tabu kuappreciate kadi za mapenzi.Kwa kweli mie naona unaongea pumba tu.Sasa tofauti ni nini na sema mtu kapewa kadi na yeye huwa hatoi akaifurahia utasema uliyoongea humuMchoshoooooooooo
tatizo unaweza ukaletewa mauwa na bado usipendwe(danganya toto), bora upate danganya toto ya mkwanja kuliko mauwa, coz kwenye mkwanja hata ukigundua kwamba ilikuwa danganya toto na wewe unajipa moyo kwamba ulifaidi.
Wengine bado kula kulala anataka zawadi anayoweza kuificha hata rum akipeleka nyama ni kuchezea kichapo hadi aseme alipoitoa.