Mapenzi ya kisasi ni adhabu kwa mke/mume

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Baada ya kupotea humu jamvini kwa miezi kama mitatu leo nakuja na mada ya visasi kwenye mahusiano na athari nilizokumbana nazo.

Kuna mwanaume nilikuwa nampenda sana mpaka basi, nikawa na hisia kali za kimapenzi na yeye, kwamba tukiwa sehemu yenye uficho hata kama si hotelini kosa anisogelee naloa.

Siku moja tukatifuana baada ya kugundua ananicheet kwa hasira nikaanzisha mahusiano na mwanaume mwingine ili na mimi nimkomoe.

Aisee tukienda faragha na jamaa naona ni mateso, sisisimki, siloi, hata azame chumvini hamna kitu anabaki anafanya yeye mwenyewe akimwaga sitamani kurudia, tukakutana kama safari 3 sikuona umuhimu wa kuendelea naye.

Ikabidi nimuombe samahani mume wa awali, na yeye akanisamehe siku nakutana naye hata kabla ya kunigusa naloa.

Hata wanaume akianzisha penzi la hasira kwa mpenzi mpya haenjoy kabisa na mwisho wa siku hurudi nyuma.

Nishauri kama mmekorofishana na mtu wako ambaye unasisimka ukiwa naye bora mwombane msamaha maisha yaendelee.

Mapenzi ya kisasi hayana burudani kabisa.
 
Ngoja waje
 
Wamekusikia..?
 
Kitu ambacho watu huwaelewi ni kuwa mwanaume anaweza kuwa na wanawake hata 13 na akagawa upendo equally kote.

Ila mwanamke akipenda ni amependa humwambii kitu chochote kile na akicheat ujue mapenzi yote kayahamishia nje huko.

Daah ama kweli mwenyezi Mungu alituumba tofauti
 
Mbona kama umenisemea mimi? Nilimuacha kwa hasira na ujinga nikaenda kwingine, nikakosa vibe na kila kitu nimerudi mwenyewe.

Kila mtu ana mtu wake, msilazimishe msikopenda.
Jishusheni, rudini na kuomba msamaha kwa mnaowapenda, maisha mafupi haya.
 
Ukome
 
Shukrani sana kwa somo zuri na lenye muhusika mwenye uzoefu ndani yake 👌
 
mmmh !!
Jiangalie vizur labda umerogwa, hakuijiagi na ndoton kweli huyo mtu wako ??

Love is our weakness, lakini kupenda kimoja kama Mungu wako hapo kuna tatizo
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…