Napenda unavyo rusha miguu hapo.:msela::msela:
Napenda unavyo rusha miguu hapo.
@Thread; Acha kutilisha aibu wewe sasa unataka mke wako akulipie chakula.
Kama unaongelea wanawake amabao sio mke wako hapo lazima alipe yeye mpaa siku unamuoa :violin:
Nani kasema takosa wakuoa, nilisha pata wanamna hio wengi tu nawalilia niwaoe lakini sijawaoa...Nikaenda owa ambaye huwezi kuamini hata siku moja hajalilia nimtoe out, wala kuomba sijui nimnulie mkufu au bangiri, niloa yule ambaye nilipokuwa namuambia twende out anasema mpaa tukisha owana.
Kwa msingi huo unaweza pia kumkosa wa koa...
Jamani mapenzi ya kweli kwangu si kumtoa out umpendaye tu. Kwangu mie nadhani kama kupendana kwa nini mtoto wa kiume amtoe wa kike tu? Inanipa homa sana ninapomuona mmoja anafanya kila kitu na mwingine ni mpokeaji na wkt anao uwezo wa kujibrother sugarcane? Nishauri au siyo jamani
huu ubahili huu....
haya tumekusikia.....tutakuwa tunakutoeni out......umefurahi..?
waambie tutawakimbia hao!
hili ndio tatizo la pesa za mawazo......
mtoto mzuri anamtaka.....pesa hataki kutumia.....tutoe msaada gani hapa.......
Nyie mnajua nini mana ya ubakhili? bakhili ni yule mtu ambaye anajinyima yeye mwenyewe raha toka lini raha ikawa kero...Sijui uanze kubeba wanawake out ukawalishe, kero tupu....Kuna vyanaume vingine vikisha pata pesa kila mtu lazima ajue kama vinapesa, ndo unavikuta vinakimbilia kuwapeleka ma gf zao out, yule gf wake anakula weeee na kukutia demage, wengine labda wamekopa...Afu wanakuja watu walio mzidi akili wanamla yule gf wako bure kabisa bila hata yakutoa shiling moja mfukoni.huu ubahili huu....
haya tumekusikia.....tutakuwa tunakutoeni out......umefurahi..?
Hiyo ndo itikadi, mme kumtreat mke and same way goes when they are married, mme ni provider. Ukitaka othewise itakuwa ngumu and you will loose a credibility as man and differentiate between cha kikume and mwanaume.
Personally, I will only treat him if its his bday otherwise he should spend his money on me :msela::msela:
hapo kweli umewazamfana no k for free........ yaani in one form or another utalipia k tuu....
jana nimetoka out na kicheche kimoja cha kitaa hapa acha kinywe nlitoka na 50 nikarudi home na kama buku 3 hivi ndani ya masaa machache. dudu ka lile sidhani ka nkiliomba lininunulie fegi ya mia litaweza.
Hiyo ndo itikadi, mme kumtreat mke and same way goes when they are married, mme ni provider. Ukitaka othewise itakuwa ngumu and you will loose a credibility as man and differentiate between cha kikume and mwanaume.
Personally, I will only treat him if its his bday otherwise he should spend his money on me :msela::msela: