Mapenzi ya kweli!

Katika zama za sasa wengi wa "wapendanao" hasa wanaume hununua zawadi kwa kupotezea 2 c kwamba ana-feel kufanya hivyo bali kwa kuwa mwenzi wake anazipenda na asiponunuliwa furaha itatoweka/atawekewa vikwazo n.k.
 
Hapa si penyewe! Mapenzi usanii mtupu siku hizi
 
hakuna kitu inaitwa mapeni ya kweli, usijidanganye zama hizi ni wizi mtupu.

Jitunze ili ujifurahishe mwenyewe sio mpenzio... copy that.

Kujitunza kwa ajili ya kufuata mapenzi ya Mungu zaidi, that works better, kujifurahisha kunaweza involve kutojitunza you know!
 
Katika zama za sasa wengi wa "wapendanao" hasa wanaume hununua zawadi kwa kupotezea 2 c kwamba ana-feel kufanya hivyo bali kwa kuwa mwenzi wake anazipenda na asiponunuliwa furaha itatoweka/atawekewa vikwazo n.k.

Jamani kweli? Inasikitisha lkn!
 
Huamini? Eiyer njoo umwambie @cartula jinsi gani tuna mapenzi ya ukweliii!
Kaunga 'kuuza/kula jicho' kwa jukwaa letu la kule down ina connote sacrifice maalumu sana, ndiyo maana nikawa shocked in a way
 
Last edited by a moderator:
mapenzi ya siku hizi who cares ...utakufa na shida zako
 
Kaunga mapenzi ya namna hiyo lengo lake ni kutaka kumuonyesha mwenzi wako ni kwa kiasi gani unampenda na kumjali. Kuna mtoto wa dada aliiba laki 5 home akaenda kumlipia bf wake ada ya chuo
 
Last edited by a moderator:
Kaunga mapenzi ya namna hiyo lengo lake ni kutaka kumuonyesha mwenzi wako ni kwa kiasi gani unampenda na kumjali. Kuna mtoto wa dada aliiba laki 5 home akaenda kumlipia bf wake ada ya chuo

Aisee hiyo nayo ni kubwa; hakujali atachapwa lkn at that moment alichokuwa anajali ni welfare ya boyfriend wake!

Ila BF kama alijua alichofanya mpenziwe na kukubali maana yake alikuwa selfish!
 
Aisee hiyo nayo ni kubwa; hakujali atachapwa lkn at that moment alichokuwa anajali ni welfare ya boyfriend wake!

Ila BF kama alijua alichofanya mpenziwe na kukubali maana yake alikuwa selfish!

Nadhani ndo ule usemi aliyezama kwenye mapenzi (full kichwa, miguu, mikono + utoto) haoni .............
 
Kuna mapenzi ya kweli ya ukweli na mapenzi ya ukweli ya uongo!
 
Kule kwetu kijijini mwanamke kupokea mundu wa mumewe na mwanamume kukuta maji ya moto uwani kwa kukoga kunawamalizia wapenzi maisha yao. Inabidi tukubali hali kile wawili wanachoona wao wenyewe kuwa ni mapenzi.
 
I know, ila hiyo ni true story!
JF ni mimi na Eiyer tu ndio twaweza hata kuuza jicho ili kumsitiri mwingine!

Hata mimi na Vin Diesel tuna mapenzi kama ya hao uliowasimlia lol..... Kiukweli nimeipenda hiyo story, inafundsha sana!
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine upendo una nguvu kubwa sana!
 
Huamini? Eiyer njoo umwambie @cartula jinsi gani tuna mapenzi ya ukweliii!

Am here,sweetie,achana nao hao,tunavyopendana shahidi alie juu!
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana nawe mazima; upendo adimu sana huo, hasa siku hizi mmoja anapojitoa kabisa na mwingine anategeshea tu au anapass time! Nayatamani sana haya mapenzi, l wish nitapata wa kushare naye!
Shem Kaunga. Nani mwingine wa kushare naye love kama si Eiyer?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…