Mapenzi ya mbali yanadumu kweli?

Mapenzi ya mbali yanadumu kweli?

Wapenzi wanaweza dumu vzr tu iwe mbali au karibu . Wanaweza chepuka mmoja au wote na bado wakadumu inategrmea sana sana
 
Hivi[emoji848] mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli[emoji1745].

Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
Fimbo ya mbali haiui nyoka mkuu...
Mapenzi ya mbali yatadumu endapo Tu hamtakuja na wivu lakini ukweli n Kwanza kuchepuka n lazima
 
Mnaweza kuishi pamoja ila mkawa mbali kimahusiano, mnaweza kuishi mbali ila mkawa pamoja kimahusiano.
Uamuzi ni wenu nyie kama wapenzi.
Mdakuzi
Ni kwel wew unawez ukawa na mahusiano kwa aliekuambališŸƒšŸƒ
 
HivišŸ¤” mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli🤷.

Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
Inshort mapenzi hayana tofauti na bluetooth au Wi-fi, device iliyopo karibu ndio inaconnect.

Jiandae kisaikolojia.
 
Em achana na mapenzi, fanya mambo mengine.
Mapenzi yana wenyewe, na wenyewe sio wewe.
Tulizanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sentesi chache tu, mwenye akili tu atakuelewa.

Tukiwa secondary school kulikuwa na kitabu cha Ngoswe penzi kitovu cha uzembe.
 
Back
Top Bottom