de Gunner JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 2,044 Reaction score 4,558 May 1, 2024 #21 Yanadumu endapo wote mnapendana. Kikubwa ni upendo, kama hakuna upendo hata kama mnegekua mnalala kitanda kimoja yasingedumu.
Yanadumu endapo wote mnapendana. Kikubwa ni upendo, kama hakuna upendo hata kama mnegekua mnalala kitanda kimoja yasingedumu.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 May 1, 2024 #22 Hamad yusuph said: Ni kwel wew unawez ukawa na mahusiano kwa aliekuambali🏃🏃 Click to expand... Ndio, mpenzi niliyenaye yuko safari takribani mwaka sasa na tuko vizuri.
Hamad yusuph said: Ni kwel wew unawez ukawa na mahusiano kwa aliekuambali🏃🏃 Click to expand... Ndio, mpenzi niliyenaye yuko safari takribani mwaka sasa na tuko vizuri.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 1, 2024 #23 Hayanaga muongozo... Cc: Mahondaw
Hamad yusuph Member Joined Mar 21, 2024 Posts 45 Reaction score 33 May 1, 2024 Thread starter #24 Nifah said: Ndio, mpenzi niliyenaye yuko safari takribani mwaka sasa na tuko vizuri. Click to expand... Waooooow🫢🫢🫢 jmn ni kwel yupo mbal bas nvizur kua hivy hivyo jmn
Nifah said: Ndio, mpenzi niliyenaye yuko safari takribani mwaka sasa na tuko vizuri. Click to expand... Waooooow🫢🫢🫢 jmn ni kwel yupo mbal bas nvizur kua hivy hivyo jmn
ROHAN_ Member Joined Mar 10, 2023 Posts 43 Reaction score 48 May 1, 2024 #25 Hamad yusuph said: Hivi🤔 mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli🤷. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani Click to expand... actually yatadumu kama kila mtu atajifanya mjinga kwa mwenzie
Hamad yusuph said: Hivi🤔 mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli🤷. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani Click to expand... actually yatadumu kama kila mtu atajifanya mjinga kwa mwenzie
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,084 Reaction score 15,998 May 1, 2024 #26 Hata upate wa karibu ,jangili ni jangili tu my friend.
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,550 Reaction score 12,239 May 1, 2024 #27 Mapenzi ya mbali ni ishara ya dharau