Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 423
- 90
jamani leo naomba msaada juu ya hili. Mimi ni kijana wa kiume kwa sasa nipo dar ila najipanga kwenda sehemu fulani. Tatitizo langu ni kuwa siwezi kudumu na wanawake mara zote napokua mbali nao. Mihangaiko ya maisha hainiruhusu kukaa sehemu moja kwa muda mrefu. Tangu mwaka 2004 mpaka leo nimeishi tanga, iringa, lindi, dodoma, dar es salaam na sasa niko mbioni kwenda sehemu nyingine. Sasa nifanyeje na siipend hali hii?