Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 423
- 90
wewe usione soo..baadala ya kuwa na relationship wewe kuwa na locationships tuu.
Mkuu ni kwamba wewe labda hapo serious na hao wapenzi wako unapokuwa nao mbali.
Mimi binafsi nimekuwa nikiishi mbali na mpenzi wangu kwa muda mrefu,about 4 yrs,lkn nilikuwa commited kwake yaani
nilikuwa na malengo naye..mi nlikuwa masomoni na yeye pia alikuwa masomoni lkn baadae mi nikaanza kazi mbali na alipokuwa. Naye pia alihitimu na kuanza kazi mkoa mwngne mbali na nlipokuwa.
Baadae tukafunga ndoa na akanifata nilipo.
Ila ktk mafanikio hayo kuna vitu vikuu vilivyosababisha yote
kufanikiwa
-:Mawasiliano yasiyo katika
-:Kutembeleana mara kwa mara
-:Uaminifu
-:Malengo kwa mwenzi wako na mwisho ni
-:Mapenzi ya dhati.
Ukizingatia hayo mkuu utafanikiwa katika mapenzi yako ya mbali..Ni kanuni nilizotumia mimi mkuu.

mweee tutapona kweli na naniliu
tena wala usiwe na wasiwasi utapona tuu maana kwa kuwa wajua wewe utakuwa wachovya kwenye K tofauti utahakikisha kuwa watumia condom kwa kwenda mbele. plus statistics favour vito*bi
Mzabzab mwee asa kwani K huwa ina antivirus? dah no naipenda sana K yangu haiwezekani bana manake hata flsh disk ukiinsert kwenye kmpty tofauti inapata virus kuna trojan horse dah virus wanaweza kula files zote mmh
sasa wewe ukianza kwenda namna hiyo huta taka kukamatia K
kuikamata vp bana duh
...................
-:Kutembeleana mara kwa mara..........................
ushauri mzuri sana huu..
trojan ni aina ya virus wa kmypta , dah sijakusoma vizuri ntarudi baadaesii wewe waogopa trojan sijui vitu gani...watu wanataka kuosha rungu kwa raha zao ssa wewe mie nakwambia long distance ni full usanii tuu....so kamatia K pale ulipokuwepo ukisepa forget abt that K. unatakiwa ukamatie nyingine. usiogope trojan wala babu ya viru wewe ni protection kwa kwenda mbele