mapenzi ya mbali

mmmhh, una mambo we caren, hivi we ni she au he?

I am a proud she dada carmel!! But i have no sides when a woman goes astray i shout with the same zeal as when a man goes astray.
 
hivi mfano mtu umesafiri kama miaka miwili hivi halafu ukarudi kwa mpenzi wako(long distance lover) na ulikuwa unakula ng'adu kwa ng'adu je inabidi utumie pembejeo (mpira) au unaendelea kujilipua?

sumu haitestiwi kwa kuionja funza dume
 
Jamani mapenzi ya mbali yana raha san mkikutana mnakuwa wapya ila angaza kwanza ni muhimu vinginevyooooo.....
 
Ni kweli mapenzi ya mbali ni tatizo! jamaa anaweza toka nje ya ndoa hivihivi ! inaitaji moyo!
 
i am the living proof. ni danger mapenzi hayo pyuu:hatari:uuuuuuuuuuu!!
 
Ni very challenging type of relationship. Inahitaji trust na mawasiliano ya hali ya juu pia kukutana mara kadhaa!
 
inaumiza lakini uvumilivu ni muhimu katika hili vinginevyo utafanya show hadi watu watakuchoka.
 
da! mtoa mada kama ulikuwa akilini mwangu ,jamani hii long distance love inatesa mfano hakuna, tena pale ambapo uko fall in love alafu mtu anakubabaisha ,mara umpigie asipokee simu, acheni ndugu zangu ni Ngumu kuishi in love distance!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…