Mapenzi ya Mlela na Ebitoke

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Nimepitia kidogo mitandaoni nimeona watu wanaitukana couple ya Yusuf mlela na ebitoke eti hawaendani hii imenishangaza Sana kwani couple ziendane inatakiwa iweje?sisi watanzania sijui tumeumbwaje unatukana kwa watu ambao huwajui zaidi ya kuwaona mitandaoni na unawajudge mbona mahusiano yako hawakujudge.kama Yusuf mlela anampenda ebitoke wewe inakuuma Nini?

Mtazamo wa kimapenzi wako kwa unaempenda inaweza kuwa tofauti kwa wengine mtaani kwetu Kuna mzee ana miaka 52 amemuona binti mwenye miaka 25 Mara nyingi mzee akimuoa binti Mara nyingi anakuwa na pesa kuliko binti ila hii ni tofauti huyu mzee anajihusisha na uvuvi wakati huyo binti anafanya Kazi ya bandari na ana hela nyingi lakin pia ana miliki maduka ambayo yapo k/Koo pamoja na salooni mbili na mgahawa mmoja upo Kenya Sasa hapo utashangaa kwanini huyu binti anampenda mzee wakati ana mpunga mrefu wakati mzee Hana hela?mzee pia ameishia darasa la nne kielimu wakati binti ana elimu kubwa hayo ndo mapenzi ndo maana wazungu wanasema "love doesn't ask why"

Uhusiano wa huyu mzee na huyu binti yaani umekuwa mjadala hapa mtaani kwetu wengine wameenda mbali na kusema inawezekana huyu binti ana masharti ya mganga ili apate pesa nyingi ni lazima awe na huyu mzee yaani chuki na wivu zimewajaa yaani hawataki kuamini reality lakini mzee wangu anajua vizuri historical background ya huyo binti kuliko hawa wanazengo kwanza kabisa huyo binti katoka kwenye familia yenye uwezo mama yake ni kutoka Tabora wakati baba yake ni mwiingereza na huyo binti amepelekwa kwenda kusoma uingereza na baba yake baada ya kufaulu form 4 hapa bongo kwa division 1.

Kiukwel huyo binti ni mashalah huyu binti ni mzuri ile mbaya sura yake ni amazing alafu ni mweupe ila sio ule wa kizungu amechukua kwa mama yake mbongo.kitu ambacho napenda kwa huyu binti Hana maringo kabisa alafu yupo peace na pia anashirikiana na majirani kwenye misiba kwenye mashuuri mbalimbali alafu huyu binti anampenda Sana huyo mzee ambaye ni mume wake juzi alimfanyia happy birthday huyu mzee alikuwa anafikisha miaka 52 na aliwaalika baadhi ya majirani na akamzawadia gari mumewe mark x ambapo atakuwa anaendeshwa na mtu ambaye atakuwa amemuwajili sometime anaweza kumkiss mumewe hadharani si unajua Mambo ya kizungu.

NB: Ushauri wangu tusipende Sana kumjudge mahusiano ya watu.
 
Mtu wa miaka 52 mbona hata sio mzee
Hacha utani we dada sema tu ujawaona unaweza kusema mtu na baba yake ndo maana umesema hivyo ila mwisho siku yote ni mapenzi and umri is just a number.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] another master piece of fairytale.
So jirani yako ndo ebitoke[emoji16]
 
Majina hayo tajwa hapo juu siyajui na wala sijawahi kuyasikia!
 
Mpaka mstari wa 3 sijaona sehemu ya kuvutia pumzi!!!!. Akiweka vituo mniite nimalizie kusoma.
 
Huwezi kuzuia watu kuongea... Hawawezi wote kuwa na mtazamo kama wako.
 
Hacha utani we dada sema tu ujawaona unaweza kusema mtu na baba yake ndo maana umesema hivyo ila mwisho siku yote ni mapenzi and umri is just a number.
Mbona mama ake Domo kachukua serengeti ,shida i wapi bana
 
Mi sishangai mahusiano yao Will smith kipindi anaanza na Jada walisema hawaendani lakini kwa sasa ni ndoa bora zaidi hollywood kwa upande wa black america
Kama watafikia lengo sishangai sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…