Mapenzi ya mpeleka polisi

Mapenzi ya mpeleka polisi

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
847
Reaction score
80
Rafiki yangu kawekwa ndani
Kisa kamkashifu na kumtukana mwanamke anyehisi anatembea na mumewe

Haki iko wapi hapa?
 
hawezi kuwa mzima huyo mwanamke....kwanini amtukane mwenzie badala ya kubanana na mumewe????
 
Ni kosa kisheria kumkashifu mtu. Alitakiwa apate ushahidi wa suala hilo, then akashtaki serikali za mitaa na si kukurupuka na kumkashifu mtu. Unajua hata matusi ambayo tumezoea kutukanana pia ni kosa? Kama mtu anafuatilia unaweza kujikuta matatani na ukashangaa.
 
Haki imetendeka hapo..
Huwezi kumtusi mtu na huna
Uhakika na kosa alilofanya ...
 
Ni kosa kisheria kumkashifu mtu. Alitakiwa apate ushahidi wa suala hilo, then akashtaki serikali za mitaa na si kukurupuka na kumkashifu mtu. Unajua hata matusi ambayo tumezoea kutukanana pia ni kosa? Kama mtu anafuatilia unaweza kujikuta matatani na ukashangaa.

Serikali za mitaa wanashughulikia maswala kama haya?
 
Kama anauhakika je?
Then Unachukua hatua za kisheria kama niKitu cha kupelekwa police ..Otherwise ongea na partner wako. Sheria mkononi ni hapana kwa kitu kama hichi .. Sheria mkononi ina mahali pake.. Mfano mbakaji,na wanaotega watoto wadogo.
 
Mh hata mimi sasa naona kachemka japo yeye anadai kaonewa, sijui ntamsaidiaje?
 
kama anauhakika je?

ampeleke kwenye vyombo vya sheria na siyo kumtusi. Tena nakumbuka kulikuwa na hakimu fulani mhala fulani alikuwa anapenda sana kesi kama hizi. Hukumu zake zitakufanya usitukane tena maishani. Hapo angempiga miezi 6 bila ya faini
 
Ati,
Inakuwaje kama mtu alikuwa hajui kama kutukana ni kosa linaloweza mpeleka mbele ya sheria
 
Rafiki yangu kawekwa ndani
Kisa kamkashifu na kumtukana mwanamke anyehisi anatembea na mumewe

Haki iko wapi hapa?

Hisia pekee, huwezi chukua sheria mikononi!!, Haki imetendeka.
 
Rafiki yangu kawekwa ndani
Kisa kamkashifu na kumtukana mwanamke anyehisi anatembea na mumewe

Haki iko wapi hapa?

haki ipo
kumtukana/kumkashifu mtu ni kosa kisheria

angetafuta mbnu nyngne ya kumrekebsha uyo mwz wake
 
Ati,
Inakuwaje kama mtu alikuwa hajui kama kutukana ni kosa linaloweza mpeleka mbele ya sheria
kutokujua sheria si kibali cha kuvunja sheria

uthabarishwa ths is kosa ..na unapewa mvua 8
 
Kama anauhakika je?

ata km ana uhakika bt stl HAUNA AHAKI YA KUMTUSI MTU

angefuata njia sahihi bt nt kutukana watu...afta low ni mwanaume aliyemfata uyo mwanamke mwngne(mara nyng)so ingekuwa busara km angezungumza na mumewe ....

wewe unamtusi mwenzio badaye anampitia anampeleka dina movenpick ..anapewa pole na kubembelezwa na tiket ya dubai kufanya shopng juuu..wewe upo ndan unaliwa na mbu....

ahh ukimwona mumeo kachopoka usiende kuvaana na mwanamke uyo wewe vaana na mumeo...NDO MWENYE KOSA

sASA ata km umemtusi ,,....umemchambaaaaa so wat?ndo waachane?ASI UNACHOCHEA MAPENZ YAO APO BILA KUJUA?
 
Back
Top Bottom