MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
Haki imetendeka hapo..
Huwezi kumtusi mtu na huna
Uhakika na kosa alilofanya ...
Ni kosa kisheria kumkashifu mtu. Alitakiwa apate ushahidi wa suala hilo, then akashtaki serikali za mitaa na si kukurupuka na kumkashifu mtu. Unajua hata matusi ambayo tumezoea kutukanana pia ni kosa? Kama mtu anafuatilia unaweza kujikuta matatani na ukashangaa.
Afuate hatua zinazotakikana na si kujichukulia sheria mkononi.Kama anauhakika je?
Then Unachukua hatua za kisheria kama niKitu cha kupelekwa police ..Otherwise ongea na partner wako. Sheria mkononi ni hapana kwa kitu kama hichi .. Sheria mkononi ina mahali pake.. Mfano mbakaji,na wanaotega watoto wadogo.Kama anauhakika je?
si na wao hawana kazi za maana wanazofanya ndo maana wanapelekewa kec za kipuuzi kama hzo.Serikali za mitaa wanashughulikia maswala kama haya?
Then Unachukua hatua za kisheria kama niKitu cha kupelekwa police ..Otherwise ongea na partner wako. Sheria mkononi ni hapana kwa kitu kama hichi .. Sheria mkononi ina mahali pake.. Mfano mbakaji,na wanaotega watoto wadogo.
kama anauhakika je?
ampeleke kwenye vyombo vya sheria na siyo kumtusi. Tena nakumbuka kulikuwa na hakimu fulani mhala fulani alikuwa anapenda sana kesi kama hizi. Hukumu zake zitakufanya usitukane tena maishani. Hapo angempiga miezi 6 bila ya faini
Mwache tu amalizie kifungo chake Si ulisema kawekwa ndani..Akitoka labda atakuwa kajifunza kitu...Mh hata mimi sasa naona kachemka japo yeye anadai kaonewa, sijui ntamsaidiaje?
Rafiki yangu kawekwa ndani
Kisa kamkashifu na kumtukana mwanamke anyehisi anatembea na mumewe
Haki iko wapi hapa?
Yaliyompeleka polisi sio mapenzi ni matusi yake.Rafiki yangu kawekwa ndani
Kisa kamkashifu na kumtukana mwanamke anyehisi anatembea na mumewe
Haki iko wapi hapa?
Rafiki yangu kawekwa ndani
Kisa kamkashifu na kumtukana mwanamke anyehisi anatembea na mumewe
Haki iko wapi hapa?
kutokujua sheria si kibali cha kuvunja sheriaAti,
Inakuwaje kama mtu alikuwa hajui kama kutukana ni kosa linaloweza mpeleka mbele ya sheria
Kama anauhakika je?