Mapenzi ya mtandaoni magumu

chriss brown

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
292
Reaction score
63
Ni aibu kwa mwanaume kutukanwa na mwanamke,either jf au fb,tuachen mambo ya kumix madem jamani.Mpaka aibu...khaaa!,hata wasichana pia.kuja jamaa katukanwa,sijui kama atafuatilia tena.
 
Mmezidi,mimi nakupa la uso kavu kavu...tena kama status..ki ki ki ki..
 
Ni aibu kwa mwanaume kutukanwa na mwanamke,either jf au fb,tuachen mambo ya kumix madem jamani.Mpaka aibu...khaaa!,hata wasichana pia.kuja jamaa katukanwa,sijui kama atafuatilia tena.
Kumix mix watu ni ulimbukeni tu na tamaa!! Kutukanwa ndio dawa yao saaaafi....
 
Hii thread haina afya hata kidogo, tujaribu kujipanga wakati tunataka kuanzisha thread, content ya habari yako ni lazima iwe na msisimko kumpa msomaji hamu ya kusoma kuliko kulipuwa lipuwa habari!
Hivi kama uhandishi wenyewe ndio utakuwa na uwezo wa kumuimbisha injili binti wa kike aliyekamilika akakuelewa?
 
umeelewa,ndiyo maana uka comment.ungepita tu.
 
hujaelewa nini labda hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…