Hapo unapepewa halaf unaimbiwa tarabu heheeh pwani raha jamani
Kaka kule Tanga ilibidi niwe na moyo wa Chuma la sivyo ningemsahau mama Ngina..........Binti akikuangalia macho yake yamelegea utadhani anakuita................hehehe sasa hapo baba Cantalisia unazani utatoa talaka kweli? Mwanamke akilijulia penzi haachwi bana anaacha tu. (Basi wakija wenyewe watabisha)
Mwanangu kwani hujui nilikwenda kule kikazi kwenye ule mradi wa Malaria? Kule tunazalisha Mbu na kuwachunguza ili kujua wanaambukizaje Malaria sasa huo muda wa kuchungulia mabinti ningeupata wapi.............!?Baba...
baba...
Mwanangu kwani hujui nilikwenda kule kikazi kwenye ule mradi wa Malaria? Kule tunazalisha Mbu na kuwachunguza ili kujua wanaambukizaje Malaria sasa huo muda wa kuchungulia mabinti ningeupata wapi.............!?
Naomba usije mwambia mama yako...........haya maneno yaishie humu humu.....................................LOL
Kaka kule Tanga ilibidi niwe na moyo wa Chuma la sivyo ningemsahau mama Ngina..........Binti akikuangalia macho yake yamelegea utadhani anakuita................
khe kweli Tanga raha had leo wanatumia hii kitu kimetulia sana. nilikiona kwa bb yangu kawa limeandikwa funua ule huu ni ujumbe tosha.
"Mijitu"Kweli kabisa, feni halifukiziki kwa udi, lakini hapo udi kama kawa, sharti ukipepewa wasikia raha tu.
"Mpenzi nipepee, nna usingizi nataka kulala".
Mijitu ya bara itayajuwaje hayo, wengine hata nguo ni miaka 20 nyuma wacha hiyo.
Inabidi familia muweke mikakati Faza asirudi tena Tanga baada safari yake hii.nina wasiwasi mama anaweza kukosa visenti vya vipodozi.
hehehe hapo kaka lazima utaacha hata risiti ulonunulia kaptula yako ulovaa. BalaaNi kweli, kuna raha zake! Bt usisahau na kuibiwa kisayansijadi kunahusika, hujasikia kidume kilipelekwa bafuni kimebebwa mgongoni , bafuni kumeandaliwa kigoda na kisosi, kidume kikaketishwa kigodani, kisha kisosi kikatumika kuwekea kende (hizo parachichi mbili kisosini ndo zikaanza kuogeshwa)
mara katiwa ulimi wa sikio ! weee! Kesho yake si alipeleka hati ya banga!
Mchezo tupa kulee!
Kaka kule Tanga ilibidi niwe na moyo wa Chuma la sivyo ningemsahau mama Ngina..........Binti akikuangalia macho yake yamelegea utadhani anakuita................
Hii nimekutana nayo MKWAJA huko Pangani TANGA mwanzoni mwa mwezi huu............................LOL
Haya mambo ya vipepeo mpaka leo yapo?
Mijanakike ya bara kwa kunuka kwapa na nanihii ndio yenyewe, wajifunze kutumia vitu kama hivi vitawasaidia.