Wanawake mkiambiwa ilivyokuwa, mnamning'iniza tu huyo jamaa! Mara sio ndio tabia yake huyo dada, mara hamjaona mapenzi hapo..... etc... Kwani huyo harakat amewaambia alikua anatafuta mapenzi kwake au ngono? Kimsingi kuna la kujifunza hapo.... wanawake mmekua cheap sana cku hizi! Mmoja amesema angalia sehemu unapokunywa.... Hata uwe sehemu ya hadhi sana, wanawake utakaowapata huko ni hadhi hiyo na watajirahisisha! Swali la msingi why that trend kwa wanawake cku hizi? Kwanini mjirahisishe that much?
Unaweza kudhania umemkomoa huyo jamaa kumbe umejikomoa mwenyewe. Hujaeleza mlivyohamia bar nyingine nini kiliendelea. Ila ujue sifa ya machangudoa ni kusense kwa haraka sana uwezo wa kifedha wa mtu aliye naye. Huenda aligundua jamaa hana kitu so akahamishia majeshi kwako baada ya kugundua uko vizuri zaidi. Au hata unaweza kukuta jamaa aliyekuwa naye ni chambo tu wa kuwapatia wanaume kama wewe. Mjini kuna mambo mengi sana ndugu yangu na kila ukikiona kinaelea ujue kimeundwa...
kwa sababu na wanaume wanajirahisisha so tunawatumia
Anayetumikaga huwa ni nani kati ya mwanamke na mwanamke? Ni nani anatumika kama chombo cha starehe?
Anayetumikaga huwa ni nani kati ya mwanamke na mwanamke? Ni nani anatumika kama chombo cha starehe?