Anayetumikaga huwa ni nani kati ya mwanamke na mwanamke? Ni nani anatumika kama chombo cha starehe?
Wanawake mkiambiwa ilivyokuwa, mnamning'iniza tu huyo jamaa! Mara sio ndio tabia yake huyo dada, mara hamjaona mapenzi hapo..... etc... Kwani huyo harakat amewaambia alikua anatafuta mapenzi kwake au ngono? Kimsingi kuna la kujifunza hapo.... wanawake mmekua cheap sana cku hizi! Mmoja amesema angalia sehemu unapokunywa.... Hata uwe sehemu ya hadhi sana, wanawake utakaowapata huko ni hadhi hiyo na watajirahisisha! Swali la msingi why that trend kwa wanawake cku hizi? Kwanini mjirahisishe that much?
J
kweli penzi kama cm ya kichina laini nne....................
Jana katika pitapita nikakutana na jamaa amekaa na binti mmoja sehemu ninapopata kinywaji
jamaa alipoenda toilet nikaomba namba kutoka kwa yule binti na mistari miwili ya kiutani
baada ya mazungumzo kidogo yule jamaa akarudi .Mi nikatulia nikasogea meza ya mbali ambapo yule
jamaa na yule binti hawawezi kuniona nikaanza kucharti na yule binti mwisho wa siku yule binti akamuaga
jamaa kwamba anawahi nyumbani tukahamia kiwanja kingine .

Hata wewe atakufanya hivyo hivyo kama alivyomfanya jamaa,ningekuwa mimi nisingeandika hapa kujisifia kwa kuuchukua huyo changu,changu ni changu kaka anaangalia ATM kama inatoa ule mlio wa traaaaaaaa,Jana katika pitapita nikakutana na jamaa amekaa na binti mmoja sehemu ninapopata kinywaji