Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Unalia lia nini mtoto wa kiume..Miaka ya 90 nilimpenda biti mmoja alinisumbua sana enzi hizo basi nakaona nimwendee kwa sheik wangu kunipa dawa ya kumvuta kuwa wangu bwana .
Nikaandikiwa makorokocho na dawa ya kupaka sehemu za siri.kweli bwana nikabahatika kumteka yule mtoto wa kike.
uwezi amini yani mpaka leo ananisumbua wakati kashaolewa na bado ana matumaini nitakuja kuwa mume wake wakati mimi nishasau .
kinacho nikasirisha achoki kunipigia simu na yupo tayari kwa lolote.nishamkanya sana mpaka nimechoka
NALIA NA TRA SIO MAPENZIUnalia lia nini mtoto wa kiume..
OA OA OA ulitaka mwenyewe hiyo dhambi kupona kwake OA afu nenda katubu kwa unakoamini.
Fanya hivi, kata hicho kifanyio na hutanwona tenaMiaka ya 90 nilimpenda binti mmoja alinisumbua sana enzi hizo basi nakaona nimwendee kwa sheik wangu kunipa dawa ya kumvuta kuwa wangu bwana.
Nikaandikiwa makorokocho na dawa ya kupaka sehemu za siri.kweli bwana nikabahatika kumteka yule mtoto wa kike.
Uwezi amini yani mpaka leo ananisumbua wakati kashaolewa na bado ana matumaini nitakuja kuwa mume wake wakati mimi nishasau.
Kinacho nikasirisha achoki kunipigia simu na yupo tayari kwa lolote.nishamkanya sana mpaka nimechoka
Unaakili sana tufunge mjadala hapaNenda kamroge tena akuchukie...
Dawa unayouna buku hapo Kaka yake shetani nikuague?