Mapenzi ya ujana yana uhusiano gani na afya yangu?

Hamisikh

Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
47
Reaction score
6
Ni wazi maendeleo yanaambatana na vitu vingi, nimeweza kuepuka masterB (kujichua) kwakua nimejua madhara yake. ila naomba mnijuze nini madhara ya kunyonya vagina/penis. na mke wangu atapata madhara gani akimeza spam zangu
 
kwan ufaham kuwa sehemu za siri zna bacteria walinz na wenye madhara ambao hutokana uchaf ulioko hko unapo nyonya unaweza kuwapata na kuleta madhara ktk mwili wko na ukumbuke utoaj takamwili ni continously xn care
 
Lakini kuna mtaalam mmoja aliniambia, vag*n* ni sehemu yenye mishipa mingi ya hisia na kama ukiichezea kwa mikono utamuumiza coz her skin is not thick, thus sucking is a right choice. Na spams is safe like 'Sayona' (Drinking water). Vipi kuhusu hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…