Mapenzi ya umbali mrefu ni heri muijue michepuko yenu kuliko kufichana na kudanganyana

Mapenzi ya umbali mrefu ni heri muijue michepuko yenu kuliko kufichana na kudanganyana

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kuna haya mahusiano ya umbali mrefu unakuta mwanaume yupo Arusha na mwanamke yupo moro

Aidha ni kwasababu ya kazi, biashara, n.k, hivyo kupelekea kutoonana kwa muda mrefu japo mawasiliano yapo.

Nasikitika navyoona wengi wanavyodanganyana kama watoto, kila moja anamdanganya mwenzake yeye hana mchepuko.

Binadamu kaumbiwa tamaa za mwili (libido) ambazo inabidi zitulizwe, sasa mtu yupo arusha mwenzake yupo mbeya hawaonani karibu mwezi kuna haja gani ya kuendelea kudanganyana??

Mtu anahitaji mtubwa kuongea nae kama mpenzi wake, kukiss nae, kushikishana nae mambo yake kwa ukaribu, n.k haya mambo tuwe tunaweka wazi tu.

Ni heri mtambulishane tu kwamba huyu mchepuko wake ni fulani na hivyo hivyo kwa mwengine,
 
Kwani mbona hata wake za watu humu mtaani wanabanjuliwa tu na waume zao wapo hapa hapa ,,

Acha kujitekenya , point ya msingi hapa n kuwa ,yy agongwe tu huko sasa mm namzuia ili iweje na tupo mbali[emoji2][emoji2]
 
Ukiwa na mahusiano ya mbali ni kujitoa tu ufaham mambo yaende ila ukiwa siriaz sana utaharibu tu
 
Nakumbuka miaka 10 iliyopita Mr wangu alitaka kuingia jeshini nikamwambia ukikubali tu kwenda mm huku nakusaliti[emoji1787] awwww mbona ali cancel sasa hivi ni mfanyabiashara na maisha yanasonga.
. Atakua MWANAUME WA DAR huyo .....yan ana cancel Kisa manz ......hawa ndo wanakuja kulia lia humu if......
 
Mm hata nikiwa nae mtaa mmoja siwez kumuamin demu wangu .....akiwa mbali ndo kabsaa
 
Kumekucha Mjadala Mchachu Huu
Kuna Jamaa Yangu Alikuwa Dar es Salaam
Mkewe Kahamishiwa Dodoma, Kila Siku Kazini Watu Wanapiga Soga Kuwa Huko Dodoma Mkeo Anapigwa Tu


Jamaa Kwa Hasira Sana Hakuomba Uhamisho Alibeba Bag Lake Dodoma Akamwambia Mwajiri Niko Nimemfuta Mke Wangu Dar es Salaam Sirudi.
 
Mm hata nikiwa nae mtaa mmoja siwez kumuamin demu wangu .....akiwa mbali ndo kabsaa
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
WinWin Situation
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Usije ukafanya icho kitu utaumia aisee, hata ukifumaniwa we weka ngumu kua sio mchepuko wako.
 
Swala la kuchepuka haliepukiki ...ni kujiandaa kisaikolojia tuu. .. ukiona huwez kaa nje ya system nzima ya mahusiano
 
Back
Top Bottom