Mapenzi ya utotoni...

story za utotoni zinauma maana unanikumbusha miaka 1985 nifanya kituko cha mwaka pale nilipokutana na msichana mmoja na kumpa thumuni alifurahi sana huyo msichana na kila alipokuwa ananiona hata shuleni alikuwa anapenda niwe naye karibu

Hahahahaaa pedesheee
 
Hahahahaaa good friends eeeeh! Haya angalia zabibu haimenywi
 
teh teh teh,rose umenifurahisha jamani kwa kunikumbusha kwa babu chachandu,2likuwaje tunadoji 2nakimbilia huko na vbf eti 2nakula lunch,usiombe ukutwe na mwl shokoraa.lazima tatu utazilamba,
 
mi nlikuw naona aibu kumwangalia da guy,i rmbr kuna ds guy he woz xo cute,evry gal lykd hm,nakumbuk kuna ds day hz frndz tld me ananiit nilifurah xna!kumbe walikuw wananidangany!i felt rily bad!nkajiona mby ile mbya
 
Hahahahaa baada ya kukua eeh? Dah mi it took longer than form two mpaka kuja kufanya, i was scared and didnt know what to do coz i never saw it done anywhere before.

Ulitegemea uone ikifanywa ndo upate ma experience. Huhuuuu mbavu zangu mie
 
Ulitegemea uone ikifanywa ndo upate ma experience. Huuuuu mbavu zangu mie
Khaaa sa watoto wa siku hizi si wanaanza kuona aneno yanafanywa wakiwa na miaka mitano so wakifika 12 wako very experienced.....sisi bhana utaonea wapi?
 
mi nlikuw naona aibu kumwangalia da guy,i rmbr kuna ds guy he woz xo cute,evry gal lykd hm,nakumbuk kuna ds day hz frndz tld me ananiit nilifurah xna!kumbe walikuw wananidangany!i felt rily bad!nkajiona mby ile mbya
OOh poor thing maybe ulikuwa unamuangalia sana so he knew u had a crush on him na wakaamua kukuchezea akili. Mh ndio crush yako ikaishia hapo?
 
Khaaa sa watoto wa siku hizi si wanaanza kuona aneno yanafanywa wakiwa na miaka mitano so wakifika 12 wako very experienced.....sisi bhana utaonea wapi?

Kwenye majumba ambayo hajaisha mlipokua mkicheza baba na mama.
 
teh teh teh,rose umenifurahisha jamani kwa kunikumbusha kwa babu chachandu,2likuwaje tunadoji 2nakimbilia huko na vbf eti 2nakula lunch,usiombe ukutwe na mwl shokoraa.lazima tatu utazilamba,
Dah kwahiyo videti vilikuwa lunch kwenye mihogo ehh? Da si karibu na shuleni kwetu kulikuwa na mzee anaitwa mzee mponda alikuwa maarufu sana asee
 
Kwenye majumba ambayo hajaisha mlipokua mkicheza baba na mama.
Aaaaah ile ya kinguo nguo? Unajua thats totally different with a real thing eeh ndio ile huwa nasema hakuna wakati mgumu anaokutana nao mwanaume kama pale anapokuwa anataka kumuapproach mwanamke anayemfeel kiukweli.....dah we acha tu
 
Kwani na nyie mnapatwaga na mfadhaiko wa kuchuma vijani au kujikuta unatafuna vidole!! Now days bwana hakuna kusumbuana akili for the time being wapo kibao
 
Hapana hatua ya kula vijani huwa hatufiki ila believe me mpaka anafikia hatua ya kukueleza ujue ameshafanya attempts zaidi ya kumi. Anaweza kuja kajiandaaa akifika kwako maneno yote yanayeyuka....
 
Mmh basi kazi mnayo! Kama vp unagonga cha Arusha kabisa kupotezea.
 
Me nlikuwa naongoza kwa barua kutoka kwa boy.wacha siku mama akione kwenye daftar nlikula kichapo nikashika adabu.
 
Hahahahaaa we kile cha Arusha hatari unaweza ukagonga halafu ukafika kwa mtoto ukaanza kutukana matusi ya hatari ukaharibu kabisaaaaa
 
Me nlikuwa naongoza kwa barua kutoka kwa boy.wacha siku mama akione kwenye daftar nlikula kichapo nikashika adabu.
Dah umenikumbusha asee, mi pia kuna barua niliiandika halafu sikuipelka ikapita kitambo maza akaja akaibuka nayo niliruka mita mia nane na hamsini uzuri nilikuwa sijaandika majina ila alikubali tu kwamba sio mimi ingawa alijua ni mimi
 
yaani wewe mpaka form 2 ulikua hupendi sex...mh nahisi ulikua una kale ka ugonjwa:eek2:
 
Amtazamaye mwanamke/msichana kwa kumtamani, amekwisha kuzini nae moyoni mwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…