Mapenzi ya utotoni...

Dah bonge la stori mzazi.
 
Poor Me! si kufaidi mapenzi ya utoto, mapenzi yangu yalianzaa chuo kikuu!
 
Mhhhh huo muda unauombea urudie tena too bad haiwezekani kabisa aise
Yaani nikimkumbuka yule wa kwangu tulikuwa tunaandikiana barua na kutumiana cards enzi hizo na kwenda nae mafundisho na kukutana sehem mnaongea weee na kufinyana finyana
Dah i wish siku hizo ziwepo tena
Na upendo ulikuwepo wa kweli japo haukuenda zaidi ya upendo
Japo kuna walioanza mapema sana kuvuana nguo
 
Poor Me! si kufaidi mapenzi ya utoto, mapenzi yangu yalianzaa chuo kikuu!
Lol! Unaonaje nikikufundisha namna ilivyokuwa si unajua wanasema ukiruka stage ni lazima utakuja kuirudia siku za usoni?
 
Kweli kabisa mkuu in most cases it didnt go beyond upendo wa dhati kabisa hakuna ufake hata chembe
 
Kweli kabisa mkuu in most cases it didnt go beyond upendo wa dhati kabisa hakuna ufake hata chembe


yeah mkuu
It was real love
Haikujali umaskini wala utajiri wala haikujali kuwa wewe una akili au msaada kwa mtu unayempenda
Ila ulikuwa ukimuona mtu unapenda kwa dhati
Wapo ambao waliishia kuwa wenza mahusiano yao yalidumu kwa muda mrefu japo walikutana na barrier mbalimbali ila walijitahidi kuziruka na kuja kuwa mke na mume
Wako waliokuja kuanzisha mahuasiano zaidi ya yale ya kiprimary na kuvuana nguo na kuja baadae kutosana
But in real sense it was kind of love ambalo halipo tena kwa sasa
 
Dah kaka kama ungekuwa unaangalia umasikini mi nisingekuwa na kale katoto maana nilikuwa napewa sh 100 kwa wiki kama hela ya shule and i had to spend sh 20 kwa siku so nisingeweza kumnunulia chochote wakati ye bajeti yake ilikuwa 500/day. She was one of the beautiful girls in school wakati huo i was just nobody maana hata kuwa smart nilianza baada ya kuwa nae ikanilazimu tufanane kidogo
 

Mkuu ndo maana nasema that was the real love ambayo haikujali umaskini wako wala haikujali kuwa wewe unatokea kwenye familia ipi
Sio siku hizi mtu anakupenda because u have something
Na ile kulikuwa na mapenzi ya kweli ambayo hayakujali kama matokeo yake ni nini au nini kitatokea
hayakujali sex wala hukuw ana nguvu kwanza ya kuomba kitu kama hicho
Mkuu ndo maana nasema ingekuwa kuna uwezekano wa kurudia enzi zile aise
 
What happened to that moment brother? Coz nasikia stori kwamba zamani it used to be like that hata kwa watu wazima
 
Lol! Unaonaje nikikufundisha namna ilivyokuwa si unajua wanasema ukiruka stage ni lazima utakuja kuirudia siku za usoni?
Aisee kuruka stage ni mbaya sana , haitanoga kama enzi zile tenaa
 
Aisee kuruka stage ni mbaya sana , haitanoga kama enzi zile tenaa
Itanoga tu maana tunabadilisha kila kitu kinakuwa kama enzi zile
 
teh teh teh,rose umenifurahisha jamani kwa kunikumbusha kwa babu chachandu,2likuwaje tunadoji 2nakimbilia huko na vbf eti 2nakula lunch,usiombe ukutwe na mwl shokoraa.lazima tatu utazilamba,


ahh wewe unamkumbuka na mwal magor?
ahh shokoraa bakora zake kiboko...MIHOGO YA BABU CHACHANDU JAMAN KILA NKIENDA TEMEKE LAZIMA NIIPITIE...MIHOGO mitamu hatar jaman na ile chachandu....unajisikia:flypig:
 
ahh wewe unamkumbuka na mwal magor?
ahh shokoraa bakora zake kiboko...MIHOGO YA BABU CHACHANDU JAMAN KILA NKIENDA TEMEKE LAZIMA NIIPITIE...MIHOGO mitamu hatar jaman na ile chachandu....unajisikia:flypig:
Rose1980 kama sijaelewa hiyo smiley uliyoiweka hapo vile! Yaani ukila hiyo chachandu ndio unakuwa kama mbuzi mwenye mabawa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…