Viongozi wetu wamekuwa wakialikwa Uturuki kila siku, Raisi wa Zanzibar amerudi wiki iliyopita tu kutoka Uturuki na Makamu wa raisi alikuwa anasubiri ndege irudi na yeye kuchukua ndege kwenda Uturuki je ni kitu gani cha kimaendeleo ambacho hawa marafikizetu wameshidwa kumwambia raisi wa zanzibar mpaka makamu anende ndani ya wiki moja tu!. Kuna mambo gani ya maendeleo yanaletwa na hawa jamaa na kama ni urafiki tu basi tuwe makini kusafiri kila siku!!!. Ninge penda kama ni kwenda kuongea na wafanya biashara lakini kama ni kupiga porojo za mapenzi hakuna sababu ya msingi ya kuwa na safari mbili za uturuki kwenye wiki moja!!!!
Kwa taarifa yako uchumi wa Uturuki unafanya vizuri zaidi ya nchi nyingi wanachama wa EU na Ugiriki ilipewa mkopo wa mabilioni na uturuki baada ya uchumi wao kuporomoka licha ya kutokua marafiki,Uturuki walisema kwakuwa ugiriki ni jirani kuporomoka kwake kutawaathiri.Jaribu kufatilia habari.Sijui wamegundua nini kwa huyu sick man of Europe.....wanaenda kulishwa kashata tu huko hamna lolote.
huko ndiko hufanyika vikao vya OIC na Kadhi.
Kwa taarifa yako uchumi wa Uturuki unafanya vizuri zaidi ya nchi nyingi wanachama wa EU na Ugiriki ilipewa mkopo wa mabilioni na uturuki baada ya uchumi wao kuporomoka licha ya kutokua marafiki,Uturuki walisema kwakuwa ugiriki ni jirani kuporomoka kwake kutawaathiri.Jaribu kufatilia habari.