Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana wana ladha tofauti kabisa
Mkuu hao wamama watu wazima unawaanza vipi yaani mpaka unawapata
 
Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana wana ladha tofauti kabisa
We ni mpumbavu na mvivuu. Huyo ni mama yako na mama yako akijua asipokuachia laana anaweza kujinyonga. Yaani umeishiwa hivyo. Imagine. Hivi mama yako akiingia na kijana kama wewe kama mumewe au whatever utajisikiaje mkumbaff wewe? Shame on you
 
Tuoatie mrejesho
 
Umewapamba sana weka wazi sifa yao kubwa kwa kuwa umri umesogea wengi wao wanakuwa wanajiweza kiuchumi hizi nyingine ni blah blah tu
 
Usibobee sana huko pana mshkaji wangu kaongozana na bimkubwa wake (mama yake )kariakoo mara kakutana na mshkaji wake mwana sana kwake wanajuana kinoma mchizi si akaropoka "hans bado tu hujaacha tabia ya kuwala wamama "

Uliona hiki kichekesho kwny stand up comedy ya Wasafi.Acha uongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
DUH
 
Mie namiliki jimama lina miaka 46 yaan nilitamu zur sana linajua mapenz linajua wajibu wake yaan nafaid sana had wife siku hiz ameanza kushtuka kwasb nakuwa sina wivu wa kijinga kijinga
So hushauri vitoto under 30? Kuchepuka navyo hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…