Mapenzi ya watu wanaopiga pombe huwa ni matamu

Mapenzi ya watu wanaopiga pombe huwa ni matamu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Mapenzi ya watu wanaopiga pombe huwa ni matamu sana na yenye furaha ukilinganisha na wale wanaotumia vitu vitamu vitamu kama juisi,soda n.k Hawa wanaotumia vilevi vya pombe huwa wana zile swaga au hamasa katika kuleta furaha katika mapenzi.Kama hamjalithibitisha hilo,ingieni field.
 
Back
Top Bottom