Mapenzi ya watu wanaopiga pombe huwa ni matamu

Kwa kawaida watu wenye same interests wakikutana lazima iwe full burudani...sio kwa wapenzi watumiaji pombe tu,hata wasiotumia
ha ha ha tatizo wale wa fanta,mirinda n.k wanakuwa wanaoneana aibu za hapa na pale
 
Ukipiga tungi unarahisha kazi

Jaribu ukiwa mombasa uone [emoji23]
 
Hata tunaokunywa fanta passions,Pepsi Big huwa tunapendana jamani, mbona Uzi unatutenga huu, kuna walevi nawafahamu na ni wanafki kama kawaida[emoji3]
Na wengi wanaopiga vitu vichungu wako smart sana....na ni vigumu kuchokana ukilinganisha na wale watumia fruto n.k
 
Kuna ukweli 200%
Mnajiachiaaa mnawekeana kwny kikundi story zinaendelea vizuri kbs huku mkipata choma choma

Au km ni wenyewe chumbani ama sebleni kwa raha zenuuu mnaanza kuweweseka mnasindikizana mnananiiii kidogo mnalalaaa vizuriiii kabisaa
 
Ni kweli mkuu..huwa inapendeza sana
 
Pombe ni kiungo muhimu sana, tena mnoo katika mapenzi! Weka bia hapo, weka wine hapo.

Raha ya mechi bao. Wale legelege vumbi la Kongo badolipo njoo DM.

Regards.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…