mapenzi ya wazungu ....mjini dsm

Kuna mtindo wazungu wazee ndo wanachukua watoto wa DSM, unakuta binti anazini na kibabu chake. Maisha bana....
 
Labda wazungu wa Zamani, Hawa wa kisasa si ndio wale wanaotuibia vipesa vyetu kwenye ATMs?
 
Hiyo ya kuambulia kuachiwa e-mail address nimeipenda sana.. Hahahaaa...Heri yangu mie nisiye patana na hiyo ngozi ya kizungu kabisaaa..
 
kama vina mpaka ac hivyo vitumbua vitakuwa vya baridi sana

hapo kwenye red, AC unaweza kuset temperature unayotaka inaweza kuwa Baridi, moderate au joto! usikariri.
 
Smile, naomba kuonja pia hivyo vitumbua... nitavipataje?
 
Last edited by a moderator:
Smile kipochi utamu ndo nini tena au ni sambusa
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ya kuambulia kuachiwa e-mail address nimeipenda sana.. Hahahaaa...Heri yangu mie nisiye patana na hiyo ngozi ya kizungu kabisaaa..
yaani ungesikia wanavojishebedua na izo email utacheka ufe mkuu....
 
Mabinti wa DSM wanaliwa uroda na vibabu vya kizungu ambavyo hata ulaya vinakataliwa kwa kunuka shombo. Noti kitu kingine kabisa, vijana wa kiume masela nao wanajivinjari na vibibi vya kizungu.
Mange wa U-turn website ndo anafanya kazi wa ku-promote udumavu wa akili kwa wanawake wawindaji wa vibabu vya kizungu. Perception mbaya sana kwa baadhi ya wadada wa kitanzania kuamini ya kuwa hakuna mafanikio bila kuzini na ngozi nyeupe za ulaya. Wanaishia kufanyiwa michezo michafu ambayo ni kinyume kabisa na maadili ya kitanzania.
 
ovyooooooooooooo sana
 
mmmmhhhh! Smile mambo zako?
 
Last edited by a moderator:
ma dearest Smile you are very right miye nimewah kumshuhudia mdada mmoja wa kibongo pale swiss airline luther house akiwa na mzungu wanakata tiket ili waondke wote, nilikerekwa na yule mdada manake hata hati yake ya kusafiria alitaka iekwe kwamba sijui akatafute uraia wa huko. jamani niligadhabika alimanusurani kumtia vibao. nikamuuliza wewe ulisha wah kwenda huko ulaya akasema hapana, ilibidi yule mmama mkata tiketi ampesomokuwa asifanye hivyo ili ama atateseka aweze kurudi tz.

sasa hawa ndo kaa wale wengine waashobkea wanabaki kuliwa uroda na mbwa na paka wa kizungu
 
Last edited by a moderator:
teh yaani ni balaa dada sikujua kama wazungu wa bulgaria nao wana soko hvi huku tz
 
Asante Smile nimeondoka na msamiati mmoja..kipochi utamu
 
wanaume wenyewe wakutuboost hakuna kitu.. zaidi ndo wanatukopa maana shida kwao zimewajaa kama nini ..loh tuyaache..
Smile bhana mbona unatusakama watoto wa mwanamke mwenzako....tofauti wewe unachuchumaa sisi tuna jojoa tukiwa kumesimama...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…