raha ya mwanaume ni kutoa bana mimi ndivo nilivoumbwa ...napenda mtu anaenipa vijihela vya saluni vishopping vidogodogo nk ...hata kama ninayo anipe tu ...ndo naamini ananipendakwa staili hii, hata mkiwezeshwa kwa asilimia 1000 bado mwanaume atakuwa kichwa tu. hivi nani alianzisha huu utaratibu wa mwanamke kutumia vitu/mali za mwanaume ili kunogesha mahusiano? sio unyonyaji huu na kuwapumbaza wanawake? shtukeni, sio lazima kupewa na mwenzi wako, hata wewe chakalika umpe, ukifanya hivyo mtaishi maisha marefu
yaani kuna watu wameinvest kwenye miili yao tena wengine wake za watu my dear .utashangaa sana dunia hii....Siku nyingine mkikaa kikao waambie waache kutegemea mwili bali akili zao hahaha..
Nimecheka mmoja alikuwa analalamika wazungu walikuwa zamani siku hizi wanatupa elfu tano
raha ya mwanaume ni kutoa bana mimi ndivo nilivoumbwa ...napenda mtu anaenipa vijihela vya saluni vishopping vidogodogo nk ...hata kama ninayo anipe tu ...ndo naamini ananipenda
acha ubahili maisha ni kujaliana..suppose wewe ni mpenzi wangu nina shida nimefulia naitaji elfu 20 ya kusuka hadi nikakope kwa mashosti? hata wewe ukitaka nakupa bana kama ushirikiano 0 mimi siwezi ...mapenzi ya kitandani tu mie siwezi..mapenzi yanatakiwa yacover kila mahaliDuh kwa style hii - vijana wana haki ya kuto kuoa.
raha ya mwanaume ni kutoa bana mimi ndivo nilivoumbwa ...napenda mtu anaenipa vijihela vya saluni vishopping vidogodogo nk ...hata kama ninayo anipe tu ...ndo naamini ananipenda
Unjua ss wanawake tunajiongopea sana kuhusu hawa wanzungu kwanza ukiwa nao inahitaji uwe mvumilivu sana tena utakopwa usiku kucha na wiki mnzima then huyooo anajikataa anakuachia email tuu kweli kabisa smile hujakosea then akitudi tena yuko na rafiki yako na atakupita kama hakujuhi vile mapenzi ya kizungu ni noma man.helo my dearests...
basi bwana nilikuwa kwenye kikundi tulikuwa na semina ya kujifunza ujasiriamali maledies mjini hapa...
si mnajua maisha magumu mishahara yenyewe kidogo wanaume wenyewe wakutuboost hakuna kitu.. zaidi ndo wanatukopa maana shida kwao zimewajaa kama nini ..loh tuyaache..
basi tukawa tunajifunza kupika vitumbua.nk
basi ikaja session ya kutoa ushuhuda watu jinsi gani wamestrugle kutoka na ikawa vipi hatima yake..
loh kuna hawa maledies kama sita hivi..wakaanza kushuhudia jinsi wamepiga ujasiriamali hadi ule wa kipochi manyonya a.k.a kipochi cha utamu ...
sasa wao wakadai waliinvest kwa wazungu wakitegemea kuwa mamrs whites...
but hawakuambulia chochote zaidi ya kukopwa na kuachiwa email adress eti ...eheheeee sina mbavu mie
nimeamini wazungu noma..hata no za simu hawatoi ni email adress tu ..wadada wanalalamika kila siku kwenda internet cafe kuchungulia kama ka ujumbe kametumwa teh hola hola...
basi tupo nao tunapika vitumbua vipo advanced tunasupply somalia rwanda &burundi...
karibu sana mamito ....ule vitumbua wazungu kitu gani?Unjua ss wanawake tunajiongopea sana kuhusu hawa wanzungu kwanza ukiwa nao inahitaji uwe mvumilivu sana tena utakopwa usiku kucha na wiki mnzima then huyooo anajikataa anakuachia email tuu kweli kabisa smile hujakosea then akitudi tena yuko na rafiki yako na atakupita kama hakujuhi vile mapenzi ya kizungu ni noma man.
hongereni kwa ujasilimia mali huo nitakuchek kuhusu vitumbua me ni mpenzi wa vitumbua sana
Mabinti wa DSM wanaliwa uroda na vibabu vya kizungu ambavyo hata ulaya vinakataliwa kwa kunuka shombo. Noti kitu kingine kabisa, vijana wa kiume masela nao wanajivinjari na vibibi vya kizungu.
Mange wa U-turn website ndo anafanya kazi wa ku-promote udumavu wa akili kwa wanawake wawindaji wa vibabu vya kizungu. Perception mbaya sana kwa baadhi ya wadada wa kitanzania kuamini ya kuwa hakuna mafanikio bila kuzini na ngozi nyeupe za ulaya. Wanaishia kufanyiwa michezo michafu ambayo ni kinyume kabisa na maadili ya kitanzania.
Vitumbua gani? hivyo hivi vitamu au vile vya kuliwa?
ivo vitamu haviliwi?
helo my dearests...