tinno criss
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 112
- 56
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji3][emoji3]
..Tafuta mtu Local kutoka Nyangiringi uone hizo sokomoko,utataman wa kuwa Online tu!!
Ndo ivyo kkYan ukweli mtupu
Duh!!! Pole sana aiseee, inauma sanaHii kitu huwa inauma maumivu flani kama hayaelezeki
Yaweza kuwa alilala akaiacha WhatsApp ikiwa onlineRose: Pouwa Wangu, Usku Mwema,
Tinnon: Nawepia,, Byeeeeeeeee!!!!
UNALALA KAMA NUSU SAA, Kwakua Unampenda Sana unaamka, Kisha unaingia kuangalia SMS ulizochat na rose, unaona bado rose yupo online,,, ahahaaaa!,
Kua na mpenzi ambaye anatumia whatsapp lazma uwe na MOYO MASHINE ili usteseke,
Unaumwa na nini sasa?Hii kitu huwa inauma maumivu flani kama hayaelezeki