Mapenzi yako kwa mkeo mpya yasimtese mtoto wako, mama wa kambo wengi makatili sana

Mapenzi yako kwa mkeo mpya yasimtese mtoto wako, mama wa kambo wengi makatili sana

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Natoa wito na onyo kwa wanaume wezangu, tusipelekeshwe na hisia, nyege na ujinga tusikubali na usikubali mwanao akae na mama wa kambo eti kisa tu wewe umempenda huyo mwanamke, utamponza mwanao atateseka sana na wengne hata wakiambiwa na majirani mwanao anateswa hawaelewi wanasema au wanatoa majibu marahisi et mnanionea wivu tu!

Kama jrani yangu hapa yaani mwanae ANAPIGWA NA KUFANYISHWA KAZI SIO KAMA PUNDA BALI ZAIDI YA PUNDA NAYEYE HAJALI LOLOTE NA ANATUONA WABAYA MAJIRANI.
 
Back
Top Bottom