Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama mbinguni

Kenya mtu anapishana na risasi ngi nga hapo kwa hapo...huo ujasiri watanzania hatuna ...kabisa...mim pia napenda kuishi Kenya ama nchi za west Africa Wana uthubutu kwa mambo mengi ndio mana wanafanikiwa sana na Wana UMOJA usio wa kawaida ndio mana nchi za ulaya unawakuta wengi ila bongo ubinafsi uchawi na Bado waoga ama wenye nidhamu za woga ..uchawa
 
Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa Tanzania 🇹🇿 🙏
Kwa pamoja tunasema Mapenzi ya Mungu yatimie hapa duniani kama mbinguni.🥺🥺🥺
 
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho.. Na kamba hukatikia pembemba
 
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho.. Na kamba hukatikia pembemba
 
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho.. Na kamba hukatikia pembemba
Kwakweli mkuu ni kweli msemo huo ila it will take a lot of blood and sacrifice kuondoa kitu hiki ambacho umeshaona impact yake 25 years later
 
Usiwapuuze hao uliowataja. Mungu ana namna nyingi za kufikisha ujumbe kupitia watu mbali mbali kwa sehemu na nyakati tofauti. Kuna mengi yaliyosemwa kabla na miongoni mwa uliowataja na yalitukia.
Sijawapuuza hata kidogo comnent yangu imekaa kikukata tamaa sana binafsi sifurahishwi na kinachoendelea
 
V

Vp kuhusu ile barua uliyosema itasomwa na kushangaza wengi na wengine kuzimia?
Eti Barua ya Karatasi Nyeupe, kwenye Vyumba vya siri ilishikwa na Mzee Wa Siri.


Hahahaha.....huyu jamaa kwa mikwara hajambo
 
Hamna kitu rafiki,kelele zimekua nyingi sana kuliko action na hapo ndo wanapozidiwa kete na jk yeye na timu yake hawaropoki ni action tu, hata enzi za mwenda zake kelele zilikuja baada ya kukamilisha zoez lao.
Just wait
 
Mapenzi ya Mungu juu ya Tanzania yetu ni haya:

1. Kiti chake Cha Enzi kilicho mbinguni, kiwepo pia hapa Nchini petu na anakitaka akae mwenyewe kupitia mtumishi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…