Mapenzi yamefanya nifukuzwe shule; chanzo ni mwalimu wangu kunitaka kwa nguvu

Naona umeimis jf ss umeamua kutafuta uhalali wa kurudi humu ndani ili raia wasihoji imekuwaje teena,haya karibu mkuu...,ila naamini utarudi na thread ya kupata shule nyungine
Hahahahaaaaa dah jf bhana
 
Pumbafu kabisa! Kwa nini usingeenda nyumbani kwa huyo mwalimu? Unafanyia bwenini kwa kutegemea nini?
Nyambafu mkubwa weeeee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…