Mapenzi yamefanya nifukuzwe shule; chanzo ni mwalimu wangu kunitaka kwa nguvu

Eti mpo ofisini alafu akasaula nguo zote akabaki kama alivyozaliwa (kama mpo chumbani mwenu vile[emoji23] [emoji23] ). Wapigaji wa fasta fasta huwa hawatoi nguo zoote hata siku moja, rudi karudie kuiangalia vizuri iyo porno uliyokua unaangalia kisha uje uedit simulizi japo najua bado utajivisha uhusika.

Wenzako wanatubu wewe unajisingizia zambi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acha upuuzi usio na mashiko mnapenda kick za kimtandao kwani mwalimu yy hajipendi mara oficn mara bwenini ?
Dogo acha wazimu wa kupotosha watu .
Nahisi milembe ndo umetomea huko .
 
Beira boy is baaaaaack [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]
 
Kupendwa na wakina madm kupo ila sio kwa style hiyo unavyotupa matukio yako

Katafute wakumdanganya....
 
we jamaa ....nakuhisi ni afisa usalama....mara una mke .. .mara naenda shule.. ...mara una alteza ....hata tukïulizwa bakigraundi yako hatuelewi......inshort husomeki
 
Kuwa hukujua umefuata nini huko shule ada umelipa darasani huendi unabaki bweni bora ulivyo ludi home tupige misele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…