Umeelewa kilichoandikwa kweli? uanaume suruali unatoka wapi hapo???????😛layball:
Unakuta mkeo anapigiwa pasi na HG nguo zake za kwenda kazini na mwanaume unajipigia pasi mwenyewe na ukimpa HG akupigie ni ugomvi na ukimwambia mkeo akupigie anakuambia anajisikia uchovu.... hapo ni mapenzi yamefifia/yameisha ama kuna jambo jengine wakulu.........
Kwa sababu mkeo ndio anaprovide kila kitu hapo including kumhudumia na kumlipa huyo hg wewe kazi kula, kutaka upigiwe pasi na kila kitu. Changamka tetea uanaume wako uone kama hujaheshimiwa. HAPO WEWE NI MWANAUME SURUALI TU

Mkurupukaji mwingine!! Wapo pameandikwa mkewe anaprovide kila kitu? Hawa wote wanafanya kazi na muda wa kuondoka ni mmoja na pia huduma za nyumbani mwanaume anahusika kama kurudi na mboga! Mafuta ya kupikia! Kuweka mafuta ya gari! Kulipa kodi ya Pango hayo yote mwanaume anafanya! Sasa usuruali wake upo wapi? yeye kauliza jambo la yeye mwanaume kupiga pasi nguo zake za kazini mwenyewe wakati za mkewe zinanyooshwa na HG:becky::becky::becky:

Rafiki yangu alikuwa anataka kuoa, akamwambia mamake kuwa amepata mchumba. Mamake akasema hongera mwanangu, hilo ni jambo jema, lakini je umekwisha kumuona mama yake? Akajibu "hapana". Akamwambia "jitahidi basi ukamuone mama yake. alivyo mama yake sasa, ndivyo atakavyokuwa mkeo baada ya miaka 20, hivyo utajua kama utaendelea kumpenda baada ya miaka 20!
Baadhi ya hawa wenzetu (kama si wote) tunatakiwa kuwajua vizuri kabla ya kuwaoa maana huficha tabia zao kama ilivyo kwa huyo wife.Hiyo ni tabia mbaya huna budi kupambana,hamuwezi kuishi kwa style hiyo
Mmmmh! Maty wewe upo single au tayari umeshaolewa?labda ningependa kujua hilo!
Kwani umesikia wanaume suruali hawafanyi kazi? wanafanya kazi lakini akishaona mkewe ana kazi basi majukumu yote anamuachia mama anaondoka patupu akirudi anataka akute chakula, apigiwe pasi n.k ndio maana mke anaona bora ujifanyie kazi wewe mwenyewe na inaonyesha pia huna maelewano mazuri na mkeo. Na hata huyo hg anajua kabisa mama ndio mwenye kuprovide kila kitu ndio maana hata hakunyooshei pasi. Kwanza inaonyesha umeolewa inabidi wewe ndio uwe unampigia pasi mkeo ungekuwa umeoa kikweli kweli mwanamke ni mwanamke tu lazima awe chini hawezi kukataa kukupigia pasi
sasa hapo si ndio ameshamwambia ajipigie pasi mwenyewe!Si bora amwambie mmewe sasa linamkera anakaa nalo litamn*ea:violin:
Utakuwa unaonesha ishara mbaya kati ya mkeo na huyo HG! Hivyo, anajaribu kuwaweka mbali! Tafadhali, jirekebishe...! Mkweli/Mwenyehaki si lazima awe mlalamikaji, hata mlalamikiwa anaweza kuwa na umweli kuliko mlalamikaji...! Hivyo, sio lazima tukuunge mkono, na kukujibu kama unavyopenda wewe, bali ni jinsi mambo yanavyodhihirisha. Kaa chini na mwenzio na umweleze ni jinsi gani unavyoumia na kusononeka kwa hilo. Huenda akakupasulia jipu! Lakini usije ukawa kuna kipindi ulifanya INFIDELITY na HG huyo ukidhania hautajulikana, kumbe unachoreka tu...!
Niko single ila natafuta mchumba nina watoto watatu kila mtu na baba yake