Mapenzi yameisha ama?????

hapo mapenzi ni 0/% yaani hakuna

Kweli eeeehhhee:glasses-nerdy: sasa hapo cha pembeni muhimu na sanduku zima la nguo unahamishia huko:becky:
 
...Wanaume wengi wa kiswahili tunapenda sana kufanyiwa mambo mengi na wanawake/wake zetu. Nadhani tumewageuza kama mashine za kuja kutufanyia kazi na once mambo yakienda kinyume na matarajio yetu ndio hayaaa mara mapenzi yamekwisha, mara lazima atakuwa kapata bwana mwingine ili mradi maneno kibao. Lakini huyu jamaa angejaribu kukaa na mkewe na wakakubaliana nani afanye nini. Yako mambo ya msingi ambayo lazima mwanamke ayafanye...punguzeni umangi meza!!:A S 100:
 

wewe ulitakiwa uwe muhindi kabisa maana wao wake zao kazi ni kuzaaa mpaka kizazi kiishiwe nguvu ambapo kutambua hilo ni kuzaliwa mlemavu wa akili au viungo na hawafanyi shughuli nyingine zozote " nenda kaoe muhindi mkuu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…