Mapenzi yameisha au nimekosea nini?

Hapo wewe ndo mwenye shida mzee
Mwanamke ni mtu wa option don't ever ignore any earlier red flag, ww umemfumania bdo unamsamehe, hapo ndo kosa,
Unapaswa uwe mwanamme, Mwanamke asikutawale kbs,
 
Hapo wewe ndo mwenye shida mzee
Mwanamke ni mtu wa option don't ever ignore any earlier red flag, ww umemfumania bdo unamsamehe, hapo ndo kosa,
Unapaswa uwe mwanamme, Mwanamke asikutawale kbs,
 
Unalazimisha mapenzi. Piga chini atakuua kwa presha kijana mdogo.
 
Hapo wewe ndo mwenye shida mzee
Mwanamke ni mtu wa option don't ever ignore any earlier red flag, ww umemfumania bdo unamsamehe, hapo ndo kosa,
Unapaswa uwe mwanamme, Mwanamke asikutawale kbs,
Noted ✅️
 
Tatizo wewe bado upo kwenye hatua ya uvulana, ukifika hatua ya kuwa mwanaume mambo yatakuwa Safi kabisa.
 
naombeni mawazo yenu
Msindikize aende, kama sio mbali sana itakuwa vyema ukamfikisha salama.

Acha kumpigia sim, akikuhitaji atakutafuta. You are too available, too low mpaka wanakudharau wote na dada yake. Kuwa mwanaume
 
Mm naona wew ndie MWenye matatizo.
Umekua dhaufu mpka unafokewa na shemeji si ufala huo.
Ukiendelea kua zoba utateseka sana watakuendesha kama gari bovu.
Pedrz yaani mama au baba mkwe sembuse shemeji anikoromee kwenye mji wangu😎😎😎 hiiiiiiiiii, baghosha.
 
You are too good, shida ni wewe. Badili gia angani.
 
Mwenzangu kwao ni lastborn na mm ni firstborn kwahyo matatizo kidogo tu yakitokea kwenye mahusiano yetu anayapeleka home nimeshamkanya lakin hataki kunielewa na ameahidi kubadilika lakini sioni hayo mabadiliko.
Afrika na Tanzania kuna shida sana watu vichwani.

Miaka miine( 4yrs) kwenye mahusiano bado mnakimbizana kwa wazazi kusuluhisha?

You two none can value time. Mnasibiri miaka ikatike mje kutuletea nyimbo za Kataa Ndoa na wengine single maza?
 
Msindikize aende, kama sio mbali sana itakuwa vyema ukamfikisha salama.

Acha kumpigia sim, akikuhitaji atakutafuta. You are too available, too low mpaka wanakudharau wote na dada yake. Kuwa mwanaume
Wazo zuri nashukuru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…