kilalabuyaga
Member
- Mar 14, 2012
- 9
- 0
endelea kuinjoi na 'mpenzi-sabuni'...!
endelea kuinjoi na 'mpenzi-sabuni'...!
Wee mbona cha mtoto?tukikuhadithia wengine utajiona una bahati sana
Wanajf nimekuwa sijihusishi na mapenzi kwa muda wa miaka saba sasa,si kwa kupenda ila kutokana na machungu niliyo yapata.kwanza mpenzi wangu wa kwanza niliahidiana kufika naye mbali kimahusiano nilipoenda a-level nikakuta ameabort mimba ya mtu mwingine akanichiti nami nikashit.nilipata wa pili nikiwa naenda chuo tukaahidiana kuoana and ofcoarse tulipendana sana but alinipigia cm anaolewa na akaomba radhi kwa hilo.alternatively napiga musterbt ndio nimepotea or what the hell is this?iloved those girls!
kama wewe hujawah pata wa ukwel usidanganye na wenziooo, kuna watu na bahat zao bana we vpHakunaga girl wa ukweli now wote ni vigeu geu tu.
Ndo mana wadau wengi huwa wanawamega tu.
Mim mwenyewe na hasira nao sana tena wakae na wanipitie mbali kabisaaaaaa.
Nyeto haina dili mkuu utakuja pata girl wa ukweli na mwaminifu na ukashindwa kupiga mechi kunako samweli sita.