Mapenzi yamesababisha urafiki wetu uvunjike

we jamaa ni mse.nge kweli, yaani pamoja na kuwa umemuumiza jamaa bado unakuja kuleta ushuzi wako hapa,!? Ama kweli ma-team fisi yapo mengi
 
Hiyo paragraph ya mwisho sijui umetunga hukutunga ila mie nna ushauri kwa huyu jamaa...mkuu John huyu poyoyo ikitokea akataka kuja kwako akiwa na huyo malaya mwenzake sijui Anna sijui takataka gani ita kelele za mwizi waambie jirani zako waite polisi kamata wote sema umeibiwa hela zako 10mill ulizotoa bank jana ambazo ulipanga ukanunulie kiwanja na wezi wako ndio hao ambapo huyo mwanamke mlishawahi kuwa wapenzi mkaachana so alichonga funguo kwa siri ndo unashangaa umewakuta ndani mwako.
 
Dah kaka ulichofanya jamaa lazime akasirike mana umemzunguka mpaka unampa demu mimba ulichokifanya unakijua na matokeo unayajua pia ila kwangu sitaki nikukatishe tamaa endelea kumwmba msamaha sema kua makini kama mwenzako kafanyiwa hvyo ikaja kwako its pocbo pia ukaja fanyiwa wewe pia yote kwa yote jiridhishe kama mambo yapo sawa kila la kheri katika maisha yako.
 

HAPA NDO UMEHARIBU KABISA, KWA NINI:

- Umemkosea sana Anna mkeo, umempa lawama zote na kuongeza uadui kati ya rafiki yako na Anna.
- Kama mwanaume ulipaswa kukabili na kupokea lawama bila kumuhusisha Anna.
- Wewe ni mbinafsi kabisa, haya alipaswa kuyajua toka zamani kabisa.
- Kuomba msamaha ndo umeharibu kabisa, there is no way nyie mtakuwa marafiki tena.
- Mind your own business!!!!
 
Yaan, we cjui niaje rafik yako kabisa ata angekuwa msela ucingefanya ivo bado tu unataka kwenda nyumban kwake kuomba msamaha, jiandae kuzinguliwa maana ulichokifanya hakisamehek ata ningekuwa mimi
 
Kiongoz nimekusoma vizuri,( ila mile sio Jon,msinitolee macho),Kiongoz ulichofanya kinaitwa double impact,yaan umepiga rungu 2 kwa mkupuo,nachomaanisha uyo jamaa yako wewe umebetray na girlfriend wake pia,aliposoma izo picha fb alijua wewe ndo mwenye makosa ilimuuma sana,ila akisoma jumbe ii atagundua girlfriend wake pia ameusika,Kiongoz stay away from that guy,wewe una roho kama ya mtu mmoja anitwa Adolf Hitler, unaua uku unaangalia usoni,..yan nimejaribu kuvaa VIATU vya mshikaj yaan bora mkae mbali tu we na mkeo,asiwajue kabisaa,stay away from that guy Mr. Coldhearted,ahsante
 
Kama unataka msamaha kwa Jonh achana na huyo mwanamke hata kama mmezaa wote. Jonh hatovumilia kamwe kuendelea kuona unaendelea kuishi na msaliti wake hata kama unamwomba msamaha. Yaani uniibie fedha zangu, umetumia zilipoisha ndo unajileta kuomba msamaha ni ngumu kukusamehe.
 
hili halitakaa vyema mkuu..kwani akisingizia wizi huenda akaulizwa kutoa ushahidi zaidi..bora aondokane na wanafiki hao vya kabisa na nyumba lake walione paa hao wanafiki
 
Kama mwanamke anausaliti na wewe lazima aje akusaliti tu.
 
Kama kamsaliti John hawezi shindwa kukusaliti na wewe.

Pamoja na hayo yote, wewe makosa yako ni kuzini na sio kumsaliti rafiki yako, maana hakua mke wake huyo.

Pamoja na hayo endelea kula maisha kijana huo ndio uanaume
 
Ni zaidi ya upupu mkuu hii nikuchanganya pumba na mashudu dadekiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…