Mapenzi yamesababisha urafiki wetu uvunjike

Siku msnitch ila Shem kwa wakti ule alikuwa na ushawishi wa hali ya juu.. Usiombe yakukute mkuu

Kwa kuendelea kumuita shem inaelekea hajakukaa moyoni kihivyo, na kuna kakujutia fulani ila ndio hivyo tena.
 
Huna rafiki anayekunywa maji tu? Hanywi hata soda?? Atavutiwa nae[emoji23][emoji23]

Jinsi ulivyompata kirahisi usidhani ndo katulia kwako, kuna mwingne atampata kirahisi hvo hvo tena!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . Huyo asimwonesha kabisa
 
kwa hili.
kwanza kama ni urafiki.hapo umekosea.
embu ingekuwa hupande wako rafiki john ndo kafanya hivi.
kisasi cha mapenzi kwa kumfanyia mwenzako kinaweza kuwa kama simulizi ya riwaya usipo angalia.huyo mwanamke ni adui tena adui mkubwa.
inawezekana rafiki yako halikuwa na kipato cha chini.na wewe ulikuwa na kipato kizuri na mwanamke kachukua mapungufu ya mwenza wake.
jiandae na wewe kukuona unamapungufu gani kama alivochukulia kwa rafiki yako
 
Marafiki tunagongeana deals sio mademu, snitch.
 
Ningekuwa mm usingekuja Kwangu na kama ungekuja Kwangu na huyo mwanamke Nafikil usingenisahau katika maisha yako yote

Pia tambua kwa maelezo yako jamaa pengine analia Machozi yasiyo futika hivyo hata akikukata PAnga la kichwa usishangae mpuuzi wewe
 


Mkianza kuchokana na Anna john ndo atakuwa mmegaji mkubwa.
 
Mi nashauri Kama mbali naye.Mkienda tutawasikia Radion Na magazetini.Eidhaa mmetenganishwa vichwa au mmemwagiwa Tindikali.Tuma watu waombe msamaha tu japo sio rahisi hivyo.But Kaeni Mbali naye Atawaua Huyo.kosa limetokea ila msije mfanya akaozea jela.
 
Kijana mim sitak kukuogopesha au kukwambia umekosea kwasababu hakuna ulilokosea hapo kwasababu mapenz yana nguvu kuliko kitu chochote duniani ndo maana wazee wa zaman kugundua ilo la wanaume kunyang"anyana wanawake wakaja na ndoa.Ndoa ndo hati miliki ya mwanaume kummiliki mwanamke.Najua kishkaj jamaa lazima ajisikie vibaya ila kwakua umefanya jitihada zakumwomba msamaha kwa dhat mim naamin kwako huna mzigo tena.Wewe endeleza maisha had siku nae atakapopata akil mpya nakujua vita kubwa ya wanaume dunian nikugombania wanawake kwaiyo unaposhindwa kumlinda uliyenaye hakika utanyang"anywa,na hii vita hainaga ndugu wala rafiki.Iko siku atakusamehe pale atakapopata wakwake wakweli badala ya uyo aliyedhan ni wake kumbe ni wako.Kumbuka mapenz ni sanaa ndo mana yapo na yanakua na kufa na urafik pia hali kadhalika.
 
Hapo ndg huu sio msamaha inaonekana hamko serias hebu kuwa serias ndg
 
Utaratibu wangu ni kwamba rafiki yangu si rafiki wa mke wangu. Hiyo biashara ya mazoea ushemeji siihitaji kabisa tukizinguana tuyamaliza wenyewe. Urafiki ni unafiki.

Aisee Mungu ambariki John, maana kama ingetokea kwangu ilikuwa ni kufanya man hunt hatari kimya kimya.

Nina imani ipo siku atakutenda nawe huyo malaya.
 
Natamani niandike bonge la tusi asee (((________)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…