nimewahi sikia hili jambo?
kwamba kuna kipindi fulani,katika mwaka miezi fulani hivi...
huwa inakuwa ina mapenzi zaidi...
na kipindi fulani hivi kunakuwa na kama
ukame hivi........
binafsi huwa na experience kipindi cha mwisho
wa mwaka.......hivi......
utakuta kuna ex gf anakutafuta hivi..
yule uliyemfuatilia zamani anakuwa available...
na kadhalika na kadhalika.....
je umewahi kuhisi hiko kitu?????????
au kuamini??????
Ngoja nilale, nitajibu nikioteshwa.
Hahahahahaha lol! BOSS usianze tena safari zako za Chalinze hahahahah lol! Naona umemkumbuka tena yule binti hahahahah lol!
YouTube - ‪Michael Bolton - When a Man Love a Woman‬‏
baridi sio????
ha ha haaaa
wewe lol
nitakujibu pm lol