Mapenzi yana raha yake ukimpata mtu sahihi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Humu jukwaani hakuna memba aliyewahi kupewa mapenzi haya, zaidi ya mimi tu equation x, kama unabisha nyoosha mkono juu ujifanye unajikuna.

Mapenzi yana raha yake ukimpata mtu sahihi, lakini si hawa wanaogeuza mapenzi kuwa biashara au ajira.

Mimi bado nimelala naendelea kula wkend yangu na mama k.

Kazi kwenu..

 
Huo ni utapeli ndugu yangu stukaaa
 


Ha ha ha ha 🀣
After hapo lazima utaambiwa kuna less wig inauzwa milion 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…