Mapenzi yanaisha ila maisha yanaendelea na utamu wa maisha ni shoo za kibabe

Mapenzi yanaisha ila maisha yanaendelea na utamu wa maisha ni shoo za kibabe

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,
Imeandaliwa na Chief Wadiz.a.k.a Chief Mapenzi.

Leo nimewakumbuka Maex zangu mademu kama wanne hivi Aisha, Mariam, Win, Esther na Esther na Elizabeth.

Jamani acheni maisha yaitwe maisha yaani hao mademu ilikuwa ni shoo shoo enzi hizo nawakatia mademu viuno kama vya Nyoshi wa FM Academia.

Mbuzi kagoma napiga shoo mpaka majirani heshima ilikuwa mia mia.

Utamu utamu na shoo shoo

Enzi zangu za kijitonyama na Kawe daah ndio maisha. Hizo pisi zilinibless sana.


Blue Monday Comasava sava bie

Chief Wadiz
 
Back
Top Bottom