kwanza acheni kufanya uasherati kwani ni uovu mkubwa mbele za Mungu, kama kweli mnapendana fanya-
1. je tabia ya mwenzi wako ni nzuri, ni mke wa kutulia nyumbani,
2.mkapime ukimwi wote kwa pamoja, mkiwa wote negative au positive;
3.tangaza uchumba kwa kufuata taratibu za kulipa mahali
4. jadilianeni wapi mnataka kuishi Dodoma au Kisarawe, mkikubaliana suala la uhamisho litafanyika mkishafunga ndoa
5. akiendelea kuwa mwaminifu, tangazeni ndoa,
6. fungeni ndoa
Baada ya ndoa fuateni taratibu za uhamisho