Mapenzi yananitesa sana.

Mimi ni mtumishi naishi KISARAWE nimebahatika kumtafuta mchumba mwaka huu ambaye alikuwa hana kazi sasa amepata kazi DODOMA najaribu kufikiri jinsi atakavyo ishi kwa mazingira haya ya dot.com..nisaidieni wapendwa.

mfunge sex security system {sss}, teknologia kubwa sikuhizi!
 
Mimi ni mtumishi naishi KISARAWE nimebahatika kumtafuta mchumba mwaka huu ambaye alikuwa hana kazi sasa amepata kazi DODOMA najaribu kufikiri jinsi atakavyo ishi kwa mazingira haya ya dot.com..nisaidieni wapendwa.

jiulize kama unampenda kweli pia kama ni mwaminifu then mfunge ndoa, maisha yaendele kama kawa, kuonana mpaka mwisho wa wiki
 
Mimi ni mtumishi naishi KISARAWE nimebahatika kumtafuta mchumba mwaka huu ambaye alikuwa hana kazi sasa amepata kazi DODOMA najaribu kufikiri jinsi atakavyo ishi kwa mazingira haya ya dot.com..nisaidieni wapendwa.

kichwa cha mada kinasema mapenzi yanakutesa sana, lakini mi nadhani distance ndo inakutesa,mkuu!
So shughulika na distance na sio mapenzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…