Mapenzi yananitesa!

Mapenzi yananitesa!

kagarara

Senior Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
118
Reaction score
9
Jamani huyu binti nampenda sana tena sana, lkn tatizo ninaishi mbal na mpenz wangu! Mwili unapohtaj sex mara moja namkumbuka mpenz wangu na kama nilipanga kufanya upuuzi naacha. Kinachoniumiza zaid mpenzi wangu alipo hakuna mawasiliano ya sim. Ss wana jf nifanyeje ili kuondoa mateso ya mapenz niliyonayo?
 
Aanaishi nchi gani karne hii. Hapa TZ sehemu mawasiliano ya sim yapo sehemu zote. mnunulie mobile
 
dah una picha yake?izingatie waklat hamu yaja
2.unaweza amiha anapoish
3.anaweza kuahamia unapoish
asante.
 
Fanya mpango muwe pamoja!
Pole sana yana mwisho......
 
Back
Top Bottom