Mapenzi yananiua

mzee itabidi uwaoe wote ili ujue ulifanya makosa..
ndetichia unanisinya sana..kwani kuoa wawili kuna issue gani? hamna kosa alilolifanya as long as anaweza kuwamanage wote. after all nani siku hizi anaoa housewife bila shaka wote wanafanya kazi and they will contribute to the family
 

hahaha.. the closer you are to church the far you are from God
 
Me kaka yangu alifanya kama wewe mwisho wa siku akaoa mdada aliyezaa nae. Yule aliyemuacha akafanya mambo ya ulozi kaka akahama kwa mke kahamia kwa yule dada. Fasta kamdunga mimba 2. Basi maisha ya kaka hayasomeki. Fanya maamuz magumu na usiangalie. Maumivu yapo but with time kila mtu atapoa. Pole ila ukome. Halaf nyie waseminary !!
 

Kamanda ndoa hailazimishwi na kuoa huwezi surutishwa wewe oa mtu umpendaye kwa dhati na usioe kufrahisha ndugu utakuja kulia na kusaga meno
 
Hahahaha alitaka kunywa sumu kwa ajili ya mwanaume??? kweli mapenzi yanaumiza nilikuwa silijui hili
Naaah...huyu kasema “mapenzi ndo yanamuua“....alafu nadhani yeye ndo mwanaume kwenye hii movie ya Kanumba inayoenda kwa jina la LOVE IS KILLING ME!
 
Naaah...huyu kasema "mapenzi ndo yanamuua"....alafu nadhani yeye ndo mwanaume kwenye hii movie ya Kanumba inayoenda kwa jina la LOVE IS KILLING ME!

Huyu Kanumba ni nani? Ni Mnigeria?
 
Nataka kujua kabla ya kutoa ushauri nisije nikapoteza muda bure!!Mi mzima kabisa mpendwa....vipi wewe?!
me niko bien umeona kijana anavyocheza na mioyo ya mabindi.
 

kwasasa hataki upeleke hata matumizi kwa baadae ndio ataweza kumtunza huyo mtoto? gia ya kupatia ndoa hiyo, nakuhakikishia huyo mvaa pete hatamtunza mwanao kama kwa sasa tu ndio hivyo baadae ndio balaa zaidi, na hapo hujamuona unapeleka matumizi kwa mwanao kwa cri, ukimuoa je c ndio iakuwa balaa, angalia hili vzr licje kuku cost baadae.
 
Naaah...huyu kasema “mapenzi ndo yanamuua“....alafu nadhani yeye ndo mwanaume kwenye hii movie ya Kanumba inayoenda kwa jina la LOVE IS KILLING ME!
ya

yani ukiambiwa kiumbe mwanaume hatabiriki ni kweli kabisa, huku mimba na hampendi kwa dhati, kampata anaempenda kwa dhati na pete juu bado na hajitambui afanyaje, na ukimuuliza kilichomfanya kumvalisha pete haraka haraka hivyo bila kujifikiria mara mbili c2ation aliyonayo utaambiwa historia, pweeehhh, mdada wa pete kakaa mkao wa ndoa, mama wa mtoto kakaa mkao wa ndoa, kazi kweli kwa hawa viumbe.
 

Tatizo kubwa la wanawake huwa mnakabidhi mioyo yenu pasipo kusoma mchezo

Mi naona bora afe tu
 
Mkuu wala mapenzi hayakuui unajiua mwenyewe! We utashindwaje kuamua bana mapenzi hayalazimishwi. Na watakugawana we endelea tu kung'aa sharubu.
 
Nakwambia...mi ndo maana nachelewa kuchangia maana kama ni uji kakoroga umekua mzito sana na kama alitaka ugali umekua mwepesi sana inabidi aamue kama ale hivyo hivyo au amwage na kuanza upya!
 
Tatizo kubwa la wanawake huwa mnakabidhi mioyo yenu pasipo kusoma mchezo Mi naona bora afe tu
Mtu anasoma mchezo anaoonyeshwa na sio halisi ndio tatizo...alafu hawa nao wanachekesha kweli maana ukweli wameshaujua na bado wanamng‘ang‘ania!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…