Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,496
[emoji1787][emoji1787] ukishakua maskini n tabu sana. Huwezi kupata elimu bora, Huduma za afya bora , Nyumba bora hata chakula bora nacho shida. Unakuta hata mapenzi n kuunga unga tyu. DahMaskini ndio wanaoteseka zaidi na mapenzi. Unakadem kako kazurii umekapata bila shida afukamekukubali kwa hali yako hiyo hiyo. Sasa mkizinguana nako lazma utapitia stress kwasababu unawaza kupata kama huyo tena ni ngumu
Daah mbona hii ID ikikwotiwa inasoma @EspyYakikukuta hata hizo pesa hazikusaidii. Ila mzitafute sana jamani maana tunazihitaji.
Utandawazi umeharibu kila kitu, na hizi simu ndo kivuruge namba oneNdugu zangu mapenzi ni shida sana, kila mtu na kilio chake[emoji28][emoji28]..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah mbona hii ID ikikwotiwa inasoma @Espy